Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

Watanzania ndio maana hatuna.maendeleo..badala ya kufanya kazi mijitu mizima na familia yao.imekalia umbea wa umri wa miss Tanzania..Hata kama ana miaka 100 inawahusu nini? Waliodhamini hayo mashindano wameridhika na mshindi wako kimya lakini vizabizabina ambao hawajatoa hata mia inatoka povu huku kila siku..Mwacheni binti wa watu apumzike

Umeshatuletea mihogo mjini.
 
Mh! Hapo kuna utata
Lundenga anasema wagombea wote walileta vyeti original na Sitti anasema cheti chake kilipotea. Kipi ni kipi hapoooo?
 
Matola hicho cheti kimetengenezwa September 2014 jaribu kuzoom!
Ni wazi ameanza kushiriki Umiss ganzi zingine bila cheti!
Na aliulizwa kama alitoa report baada ya kusema cheti chake kilipotea akasema hakujiandaa kujibu hilo swali!
Ni wazi ni muongo sana maana kiutaratibu uwezi kupata cheti kipya kama cha mwanzo kilipotea bila kupeleka loss report kutoka polisi!

Huyu Miss ana miliki vyeti viwili na ni Miss mtupu kichwani sijawai ona!

Huyu Lundenga ni mpuuzi sana, huyu Sitti ana weakest point si chini ya 3.

1. Forgery
2. Umri
3. Uzazi

La nne la kuongea kifaransa tuweke pembeni kama angelalamikiwa kwa hilo mjadala ungezimwa kirahisi kuliko huku walipoingia sasa hivi kwenye kufoji hili sasa ni swala la polisi, Uhamiaji, Takukuru na Usalama wa Taifa.

Lakini kwa kuwa nchi hii ni ya kishkaji basi tumeshapigwa changa waliosema ndio nadhani wameshinda.

Mimi binafsi nakuhakikishia huyu hapati Viza ya kuingia uingereza labda mimi siyo Matola wa JF.

Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Hiko cheti cha pili cha kuzaliwa alipataje bila kutoa taarifa polisi.Ankoli Lundenga majibu haraka yanahitajika.Tunataka na pasi yake ya kusafiria tuione.Unataka ushahidi wa nini wakati wewe ndio uliotakiwa kutoa ushahidi maana wadau walishamaliza ya kwao ilibaki nyie tu. Akiwakilisha huko kwenye upumbavu wenu asitubebee bendera yetu, abebe picha yako wewe Lundenga tu maana msituharibie nchi yetu haswa kwenye suala la utalii.

Hahahaaaaa,eti picha ya lundenga...
 
Huyu binti hana akili timamu kabisa yani maswali machache na marahisi yana mshinda bado wana muhita Miss?
Jinga kabisa!

anajua hawezi fanywa kitu chochote ndo maana na amehakikishiwa ushindi ila washajiharibia mi ndo sifatlii tena ujinga ujinga
 
PICHA za BIBI BOMBA

55.jpg


222.jpg


Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akionesha cheti mara baada ya kuhitimu masomo

77.jpg


111.jpg


11.jpg
 
Na wewe unapataje muda wa kumjibu mtu ambaye maisha yameshamshinda maana atakupotezea muda?

ujana ni maji ya moto fainali uzeeni.. Fanya kazi acha kuhangaika na vitu visivyokusaidia..Jiulize hao mamiss Tanzania waliopita waliokuwa na umri mdogo waliifanyia nini Tanzania. Bora kupeleka miis world mtu mzima anaejitambua kuliko.kupeleka vitoto vitakavoenda kucheza cheza tu huko ulaya
 
PICHA za BIBI BOMBA

55.jpg


222.jpg


Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akionesha cheti mara baada ya kuhitimu masomo

77.jpg


111.jpg


11.jpg

Huyu Sitti anajitambua. Bora kupeleka miss world mtu mzima kama sitti anaejitambua kuliko kupeleka vitoto vitakavyoenda kuchezacheza tu huko Ulaya na kushangaa magorofa
 
Hiki cheti ni kipya tusifanyana mafala vyeti vya zamani havipo hivyo.

alijibu cha zamani kilipotea hivyo nikaenda kuchoka kimpya, kanichekesha pale alipoulizwa baada ya cheti kupote ulitoa taarifa police akawajibu, sikujua kama nitaulizwa hilo swali hivyo sijajipanga, ujue ni muongo wa kutupwa alitaka awe amejipangaje??
ingekuwa mimi ningejibu police nilirepot ila na loss report ya police nayo imepotea.
 
Huyu Lundenga ni mpuuzi sana, huyu Sitti ana weakest point si chini ya 3.

1. Forgery
2. Umri
3. Uzazi

La nne la kuongea kifaransa tuweke pembeni kama angelalamikiwa kwa hilo mjadala ungezimwa kirahisi kuliko huku walipoingia sasa hivi kwenye kufoji hili sasa ni swala la polisi, Uhamiaji, Takukuru na Usalama wa Taifa.

Lakini kwa kuwa nchi hii ni ya kishkaji basi tumeshapigwa changa waliosema ndio nadhani wameshinda.

Mimi binafsi nakuhakikishia huyu hapati Viza ya kuingia uingereza labda mimi siyo Matola wa JF.

Cc: Pasco

Na kwa malalamiko haya ya Watanzania walio wengi mwaka huu huyu BIBI BOMBA atamwakilisha Lundenga na Mtemvu na sio Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia.

Kwa umbo hili utasema huyu anastahili kuwa Miss?
77.jpg
 
Back
Top Bottom