Lundenga hujachoka tu kuwaangalia?

Kaka kitu cha Haramu huwa watu wanachoka kutizama au Kuonja? au kugusa ? kama wanavyosema kinachokatazwa wanasema kitamu shetani anafanya viwe vitamu kwenye mtihani tu huo.
 
aise kitu kimekaa utamu hicho!miye simlaumu lundenga,naamini ningekuwa na access kama yake na mimi ningekuwa kama yeye tu au hata zaidi yake!
 
Lundenga anatakiwa aondoke na aje mtu mwingine mwenye mawazo mapya. Huenda yeye ndio kikwazo cha warembo wetu kutofanya vema huko ktk miss world. Amekaa hapo miaka nenda miaka rudi na hamna lolote. It's time for a fresh blood, fresh ideas, fresh vision. La sivyo kama huyu mtu ataendelea kungangania hapo basi warembo mtakuwa hamna jipya
 
Mbona macho yake yanaangalia kifua badala ya uso ? lol!
 
huyo ndo mzee wa kaz..aka mzee wa kongoro chuchu..
 
anatafuta ela ya kula jamani mambo mengine 'by the way' kila mtu anakula ofisini kwake
 
Kitu kimewekewea nyavu Lundenga uzalendo ukamshinda hahahahahaha
 
Mzee anaangalia upaja, huwa anawapeleka wapi hasa hao mabinti, sababu.. duh!
 
Hamu huwa haiishi kwa watoto wazuri kama hawa!
 
hii ndo Africa bana kiongozi anang'ang'ania madaraka mpaka atolewe kwa nguvu hata kama yeye ndiye founder of miss Tanzania mpaka sasa hivi what special alichofanya i think its time akae pembeni watu wengine wafanye kazi hiyo ili waweze kuinua vipaji vya warembo otherwise warembo watabakia kuwa chakula ya mapedeshee tu na hatimaye scandal kila siku.
 
Sahizi amewawekea camera nyumba nzima, awaangalia kabla haja request, vodacom na wenyewe !!!!! Sijui ndo big miss tanzania,maana wameiga big brother, wenzenu wanafanya human behaviour research, nyinyi mnafanya nini, mbona hamtoi taarifa, au kuuza vitabu vya u-miss
 
mali ya macho tu ndugu yangu Saint IVUGA punguza wivu --- anza na wewe kufadhili kwenye kata level ili na wewe ufaidi faidi kwa macho. lol

Mimi mwaka huu nilianza nao tangu Tabata na Mwenge - kwenye hii top group ninao wawili nawadhamini - tuwasiliane.
 
Huyu Lundenga nina mashaka nae hadi basi! Yaani kila mwaka uangalie mapaja ya wasichana hawa miezi mitatu akili itakuwa sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…