Lundenga hujachoka tu kuwaangalia?

Lundenga anatakiwa aondoke na aje mtu mwingine mwenye mawazo mapya. Huenda yeye ndio kikwazo cha warembo wetu kutofanya vema huko ktk miss world. Amekaa hapo miaka nenda miaka rudi na hamna lolote. It's time for a fresh blood, fresh ideas, fresh vision. La sivyo kama huyu mtu ataendelea kungangania hapo basi warembo mtakuwa hamna jipya
nani amuondoe? halafu aende wapi?
 
Lundenga ndie mmiliki wa hiyo kampuni ya Rhino na ndo alodaka kandaras ya kuwa'assess watoto wenye tamaa ya MAISHA,
so the guy is not going anya where ....hes there to stay...let him enjoy ..its his time
 
Muislamu aliyesahau ile aya inayosema .........wala takrabu zinaa...... usiiikurubie zinaa hapa unajiingiza mwenyewe, shetani hana lawama.
 
Back
Top Bottom