donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Alaaa kumbe una mwili!!!
Hapana pembeni yake shurti kuwe na kibeseni kingine chenye Ugali wa dona...sisi huo ndio tunaita ugali...
We unadhani huu mwili umekuja hivi hivi!!!
Kwani kuna mwanaadamu asiyekuwa na mwili?Kama nimekuelewa vizuri ukisema una mwili maanake una mwili mkubwa ulojengeka au tipwatipwa!!
Wewe kwani huna mwili...??
Oppss aisee mawazo mengi!!dhamira nimquote huyu watu8Best mbona umejiquote mwenyewe.........
Oppss aisee mawazo mengi!!dhamira nimquote huyu watu8
hapo mtu anaumaliza wote mpaka chini ya sahani inaonekana "made in china"hapo mboba ni kachumbali
hapo mtu anaumaliza wote mpaka chini ya sahani inaonekana "made in china"
Aisee sidhani naona nimeaghiri mtoko maana hali si njema pande hizi!!nimekuelewa my dia...leo waenda Air Pambamoto
Kwani kuna mwanaadamu asiyekuwa na mwili?Kama nimekuelewa vizuri ukisema una mwili maanake una mwili mkubwa ulojengeka au tipwatipwa!!Wewe kwani huna mwili...??
Ha ha ha da mkuu nimecheka sana, tena usiombe sahani ikawa ni ile iliyotengenezwa kwa "bhondo"hapo mtu anaumaliza wote mpaka chini ya sahani inaonekana "made in china"
Kwani kuna mwanaadamu asiyekuwa na mwili?Kama nimekuelewa vizuri ukisema una mwili maanake una mwili mkubwa ulojengeka au tipwatipwa!!
mie huo mwili wako naupenda sana..ur such a gentlemen.........
uheshimiwe ugali wa dona siku zote.......
Come on now!!!:eyeroll1:Mawazo mengi ka mama anayenyonyesha...!