Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
hana hata chumvi ya kuchovyea!!
Asije kuwa anashushia na mnazi hapo!!Haahhahaha msela huyo
hana hata chumvi ya kuchovyea!!
Haahhahaha msela huyo
Asije kuwa anashushia na mnazi hapo!!
hapo mboga ni kachumbali
Kwa sisi Wasukuma ugali ukishapikwa kwa sembe hatuutambui kama ni ugali bali mboga...
Kwa sisi Wasukuma ugali ukishapikwa kwa sembe hatuutambui kama ni ugali bali mboga...
kwa mpango huo nitalala na njaaa,kwahio kama ugali ndio mboga na ugali ndio upi?hahaaa....kwa hiyo huo unalika wenyewe kama wenyewe tu LOL.....
mimi49 njoo uone maajabu ya wasukuma
hahaaa....kwa hiyo huo unalika wenyewe kama wenyewe tu LOL.....
mimi49 njoo uone maajabu ya wasukuma
kwa mpango huo nitalala na njaaa,kwahio kama ugali ndio mboga na ugali ndio upi?
Mwanawane unapikwa kwenye chungu harufu yake kijiji kizima mnasikia harufu, wa moto balaa ila cha ajabu watoto wanakula bila shida hakuna cha kumegewa tonge na watu wazima sijui lipoe hakuna....pembeni kuna nsansa zimemwagiwa samli acha mkuu hazitoi moshi ila za moto usiombe.
Alaaa kumbe una mwili!!!Hapana pembeni yake shurti kuwe na kibeseni kingine chenye Ugali wa dona...sisi huo ndio tunaita ugali...
We unadhani huu mwili umekuja hivi hivi!!!