Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,591
- 2,383
Azam
Mimi nimekwambia tu? mwanaume unafaa upost maswala ya kaz na sio vyakula maana nyie wanaume wa dar mnamambo ya kike sanaKwani si ungepita tu kisingeharibika kitu
Kwani ni lazima kila post za umama ukoment, kama sio Umama na wewe uliokuwa nao, ignored inakuhusu!
Mara moja moja kwa mwezi Sio mbaya Mtumishi wa Bwana89:
Kama unafanya mazoezi au kazi ngumu huwezi kuacha kula wanga, matunda ni kiburudisho at any time unakula, tatizo wanaume wa Dar wamefanya yawe ndo lunchHahahahha nani kasema!! Ila kwanza mkuu unauelewa hasi juu ya matumizi makubwa ya wanga na sukari
Hahahaha naona hii ya nusu ndizi iongezwe kwenye uzi wa MbagalaHalafu umeshindwa hata kununua Ndizi nzima kwa afya yako unakula ndizi nusu???
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kadume ka Dar hako!!..... Kula vitu laini laini!
Wa DarHalafu umeshindwa hata kununua Ndizi nzima kwa afya yako unakula ndizi nusu???
Hahahahahaaa upo stressed mkuu nn mbn kama ujala mchana vileHuo ni umama bro?? Wanaume wanapost kaz sio vyakula
Khe [emoji1787] khe khe khe khe khe khe kheHuo ni umama bro?? Wanaume wanapost kaz sio vyakula
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Panya road wakikatiza lazima ukimbilie kwenye uvungu wa gari
Mix dona hilo mkuuSasa mbona umepiga picha mboga tu au unatuonea aibu kwakua unakula ugali mwekundu?
Sawa mkuu naunga mkono hojaNaomba kuwasilisha....[emoji39]
View attachment 940645
Hivi vyakula wanakula wanaofanya kazi za ofisini. Ukiwa site au unafanya manual works huwezi kuwa na lunch kama hii.Mkuu siku hizi watu wamehama wajanja wanatumia keto diet haya mambo ya wanga na sukari + mafuta ya mbegu (vegetable oil) watu wamepiga chini