Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Siku njema
ndionalivyojichagulia jamanHalafu umeshindwa hata kununua Ndizi nzima kwa afya yako unakula ndizi nusu???
Kwani si ungepita tu kisingeharibika kituHuo ni umama bro?? Wanaume wanapost kaz sio vyakula
Mara moja moja kwa mwezi Sio mbaya Mtumishi wa Bwana89:Unaongeza cholesterol mwilini halafu baada ya miaka kadhaa unakuwa na blood pressure ,stop it pendelea kula vyakula vilivyochemshwa
Waambie waelewendionalivyojichagulia jaman
Maanake nini?Wanaume wa Dar bana [emoji23]
Mkuu nakuheshimu sijawai kukuvunjia heshima tengua kauliacha konki aendelee kuwa konki
Mkuu siku hizi watu wamehama wajanja wanatumia keto diet haya mambo ya wanga na sukari + mafuta ya mbegu (vegetable oil) watu wamepiga chiniSiku njemaView attachment 938382
Panya road wakikatiza lazima ukimbilie kwenye uvungu wa gariMkuu siku hizi watu wamehama wajanja wanatumia keto diet haya mambo ya wanga na sukari + mafuta ya mbegu (vegetable oil) watu wamepiga chini
Hahahahha nani kasema!! Ila kwanza mkuu unauelewa hasi juu ya matumizi makubwa ya wanga na sukariPanya road wakikatiza lazima ukimbilie kwenye uvungu wa gari