Lunch hour....

Beetroot ni tunda muhimu sana Kwa binadamu kwani licha ya kuongeza damu linaweza kuongeza kinga za mwilini immunity system kwa kasi nzuri tu.

Tunda muhimu sana hili kwa afya ya mwanadamu.
 
Wanaume wa dar bhana hicho kijiugali si kitone tu tena mpka uzoom kula ugali wewe acha mizinguo
Hahah, hivi unafikiri ukila tani moja ya ugali ndio ujanja? Mwili unaabsorb nutrients zinazihitajika basi nyingine zinatoka kama waste products inaelekea mkuu (ashakum si matusi) ila unapenda kunya sana
 
Msosi umetulia kabsa!balanced diet,wanaume wa mkoani wameshazoea kula sufuria nzima watalalamika hawashibi mfyuu ndo maana wana viribatumbo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ushauri mzuri kabisa mkuu
 
Mbona unakula ugali wa mtoto? Unawezaje kushugulikia mwanamke kwa ugali kiduchu namna hiyo?
 
Yan we unawaza kuwashughulikia wanawake tu mkuu?
Aina ya chakula na kiwango cha chakula, hata table manners kunasadifu mambo mengi. Ndio maana mzungu akitaka kujua tabia ya mtu, ataijua kwa kupitia chakula. Atakualika ule kwake, the way unavyobehave anasoma tabia. Na hata mikoa mingine ukienda kuoa, wanakujua kupitia chakula. Unaletewa ugali mkuuubwa, ukidonoma matonge mawili matatu, wanajua hapa hakuna mwanaume, unanyimwa binti. So kama unaenda kwenye wakwe wa dizaini hiyo, unahakikisha hujala siku mbili. Yani unashindia biskuti ili kutengeneza njaa ya maana.
 
Sawa mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahah, hivi unafikiri ukila tani moja ya ugali ndio ujanja? Mwili unaabsorb nutrients zinazihitajika basi nyingine zinatoka kama waste products inaelekea mkuu (ashakum si matusi) ila unapenda kunya sana
Napenda kunya wapi wew waachie dadazako wale diet
 
Mimi naona donlucchese yupo sahihi kwa kiasi cha ugali kilichopo. Kwa wataalamu wa lishe 'nutritionists' wanasema;
During breakfast time : You eat like a king
During lunch time : You eat like a queen and
During dinner time : You eat like a beggar
 
Kwa kweli nimefanya assumption, kama nilivyoandika kwenye comment yangu.
Kama mtu anaishi Dar ni ngumu sana kupata king's breakfast. Ndiyo maana nikashauri hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…