Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

Sawa tunaisoma namba kwa hii miaka 10. Hakuna namna. Ila chama chetu kinawekewa misingi mizuri ya chaguzi zijazo. Tunavumilia tu.
 
tumemruhusu tingatinga .... kuna waliokimbia mapema kina lowasa, somaye , kingunge na wengine... waliobaki bora wachomoke kabisa....

Ingekuwa bora mmkaanza kuwataja kwa majina sio kusubiri wakimbie ndy mseme walikuwa mafisadi anzeni sasa
 
Muda si mrefu "Ufipa" itageuka "safe haven" kwa mafisadi...
Masalia wa waajiliwa wote wa Vibaka Ltd watachukua uhamisho rasmi. Cc msalani Mmawia Bavaria MR PRESIDENT MUSSA ALLAN nifah mshana jr

Halafu wakifika huko ndio wanakaa meza kuu. Walio wakuta wanakuwa vijakazi. Leo hii kwenye tamko la chama Mnyika anakaa jukwaa la waandishi wa habari!!! Hana kiti tena meza kuu. Kimebebwa na Sumaye ambae kwa miaka mingi wapinzani walikuwa wakimuita zero na fisadi la kuhodhi ardhi.
 
Last edited by a moderator:

Point yako ni nzuri ila hapa tuna mzungumzia mtumbua majipu Sumaye wako hana nafasi hapa
 
Mi najiuliza JPM atawezaje kupambana na waliowekeza ndani ya CCM ili waje kuvuna baadaye.Naamini hilo ndilo kundi kubwa ndani ya Chama hicho.Kama ndivyo tutarajie makubwa mbeleni ndani ya chama hiki cha wenyewe.
 
Wapinzani ndio kwanza wanachekelea.

Wapigane wenyewe sisi tunawaangalia.

Hujui politics wewe...Wapinzania hawawezi kucheka kwasababu hii process yote kwa ujumla, inaongezea umaarufu CCM...sasahivi imani inaongezeka...hii sio taarifa nzuri kwa chadema & co
 

Kepler,

Upo sahihi kabisa. CCM maslahi ambao ni rafiki wa Lowassa ndio watakao guswa na rungu la Dkt Magufuli. Sisi wengine wafia chama uwa tupo kama vinyonga...unabadilika kutokana na uongozi uliopo.

Baadhi ya wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM ndio wale aliowapa ubunge viti maalum CHADEMA wakiwa bado ni wana CCM. Hawa wajitoe fasta kwenye chama chetu. Hawana nafasi tena. Waende kule kwenye kimbilio la mafisadi.
 
Last edited by a moderator:

Nasikia jamaa kaukataa uwenyekiti wa kumfunga mikono
 
Magufuli vunja hicho chama...kimelaaniwa na tanzania chini ya ccm haiwezi kubarikiwa...
 

Kama Lowassa?
 
Point yako ni nzuri ila hapa tuna mzungumzia mtumbua majipu Sumaye wako hana nafasi hapa

Hiyo point ilikuwa ni nyongeza ya point wa kada wa chama. Wala haijatokana na mada kuu ya Mzee Tupa Tupa(kwa sasa yupo Ufipa).
 
All in all we need better life kwa watanzania wote bila kujali dini zetu, kabila zetu, Elim zetu na tunaishi wap kama jpm anafanya hivyo kwa maslah ya taifa letu namtakia kila lakheli ila kama ni kukomoa watu Mungu amsamehe
 
kwi kwi kwi!! wameashaaza? maana bwana mkubwa sidahani kama hata anaambilika.
 

Hivi unadhani Magufuli akiamua kweli kuyatumbua majipu yote nani atakae pona ndani ya ccm?
 
Acha waisome ## tu magamba, wamezidi kuongeza sifurizz
 

hata ukijikomba kwa magufuli umechemka...yeye mwenyewe hata jk amechanganyikiwa maana ameshampa za uso za kutosha...aibu imemjaa...uvasco dagama kwishnee...hapa kazi tu...eti ccm yetu wewe na nani...?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…