Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Ndio mjue CCM imejaa wahamiaji haramu Hakuna barabara inayokatiza mbele ya Lumumba.Hata barabara inayokatiza mbele ya Lumumba imefungwa kwa muda.
Hawajipendi?Ningewaona wa maana wangeanza kumshughulikia Makonda.
Wanapokelewa wale majizi waliokimbilia ChademaKuna vigogo kadhaa kutoka Chadema wanapokelewa.....yumo Prof mmoja!
Tulikuwa na Profesa Maji marefuKuna vigogo kadhaa kutoka Chadema wanapokelewa.....yumo Prof mmoja!
Chuki yako haita kufikisha popoteNingewaona wa maana wangeanza kumshughulikia Makonda.