Lulu..

Lulu..

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Lulu 2.JPG Dah hivi hapa anacheka, analia, anatabasamu au nini? Lulu.JPG
 
hichi kitoto bwana..kina kazi sana ...
 
Sasa hapo anakazi gani?, hapo si maisha ya drama yanaendelea kama kawa?
 
Amesha zoea maisha ya jela. Bora aendelee kuishi hukohuko ajifunze, naona hata mavazi yake yamebadilika. ASIYEFUNZWA NA *****...................?
 
Anawapa kazi askari wa kike kwani nao inabidi waende saloon wajirembe ili angalau waonekane.
 
Kameisha zoea jela,yaan kamekua kazur thana,bora kaendelee kukaa 2 huko,kakirud kaje na "COME 4M JELA WTHOT SHIDA"
Chini ya director "KAJALA MATHANJA"
 
HAPA KANAFURAHI KUWA KAKITOKA KANAENDA KUOLEWA NA YULE TUMBO TUMBO KOMBA
attachment.php
attachment.php
Analia!!!![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom