Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.

Haizekani kabisa isitoshe kale katoto bado hakajitambui hadhi yake na nafasi yake ktkt jamii.Kasubiri dunia ikape somo la maisha ambayo wazazi wake wameshindwa.
 
Jamani haka katoto c ndo kalikuwa kanasemezana na Salama kwenye Mkasi mpaka akadiriki kusema hakana mchumba,hakana boifrnd wala husband. Sasa Marehemu Kanumba alikuwa houseboy wake?au Ka-LuLu ndo kalikuwa ka-housegirl ka- Kanumba? Tunjifunza nini kutoka ktk hzi interview za media na hawa wanaojiita Masupastaa?Is there any need to have interview with them if they alwayz tell us lies?
 
Jamani tusihau kwamba lulu ni msanii so don't take it as serious kwa anachosema pengine anaigiza,swali zuri sasa kanumba alikua nani kwake? Jela hyooooo!
 
Kama ndo kasababisha kifo cha Kanumba ajue kabisa ndo mwisho wake na maisha yake atakaa segerea mpaka aione dunia chungu na hivi ndo kafikisha 18 juzi juzi ni mtu mzima kabisa huyu
 
Hata mm nina wasiwasi na haka kamdada! kananichefua mimi!!!! wee acha tu!
 
Kuna topic nimeitupia kwny jukwaa la sheria kule,is about sakata la LuLu na kifo cha Kanumba sheria inasemaje?Naomba mtazamo wenu kule.
 
Jamani mnamwonea bure Lulu. Hayo ni mambo ya bahati mbaya.
no one know what was happening. Hata Lulu huko nadhani anajisikia very bad.
yameshatokea there is no way.

KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.
 
Kuna topic nimeitupia kwny jukwaa la sheria kule,is about sakata la LuLu na kifo cha Kanumba sheria inasemaje?Naomba mtazamo wenu kule.
Kwa mjibu wa pretty sintah blog, inaonekana Lulu anamajiraha mabaya kule oyster bay police station. If It was most likely she will be charged with manslaughter. Meaning, Hakuwa na niaa ya mauaji. Or she can plead self defence which is a complete defence na atoke scott free. If she didnt use any weapon and she just pushed him and injuries consistent with being beaten, self defence is possible. Dont be so quick to judge especially if it was a fight. Kumbukeni leo hii ingekuwa Kanumba ndani, na lulu kwenye mortuary. Jaamani kama penzi limewashinda achaneni.
:peace:
 
akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.

Mbona hata MAREHEMU kanumba alivyoulizwa kama ana girlfriend alijibu the same thing?!!!!
R.I.P Stivin Charles Kanumba.
 
Back
Top Bottom