Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,330
- 966
Msanii wa kike lulu leo alikuwa ndan ya kipind cha take one-clouds,. Anasema anachukizwa sana na media eti zinamuandama kwa kumuandika uongo pia ameulizwa kama yupo kweny mahusiano,.jibu lake sasa,eti RELATION ZIPO,zinakuja na kuondoka,kuja-ondoka,kuja-ondoka na sasa imeondoka but anatarajia itakuja relation nyngne mwezi ujao. Wadau mnalionaje hili?