Lulu na Ngwala ya ukombozi

nimekumiss pia swahiba, sikukuu hii tunaenda viwanja gani? Nimechoka kung'aa sharubu jf.

We uko wapi nikupitie twende Sunrise kigamboni?? Au funcity unaonaje??
 
Nawashuri hii iwe fundisho kwa wakaka wanaoshobokea simu za wakina dada bila ridhaa yao!!

Nyie mnapoamka usiku nakuanza kupekua simu zetu mbona hatusemi. Ukiamua kuwa na fulani ya nini kuweka tena ka spare Tyre? Si umemkubali! Ingekaa vizuri kama ungekemea pande zote!
 
hebu nipitie hapa manzese darajani.

ok nakuja wangu! Jiandae! Nilipitia kwa Mushi kula Pilau! Napiti hapa Mlimani city kuchukua juicy za njiani!lol!
 
ok nakuja wangu! Jiandae! Nilipitia kwa Mushi kula Pilau! Napiti hapa Mlimani city kuchukua juicy za njiani!lol!

usisahau na maji ya kilimanjaro na koni ya azam
 
usisahau na maji ya kilimanjaro na koni ya azam

Koni utakula na maji utakunywa!! Usijali!! Tukalale kwenye vitanda vya beach kupunguza stress za maisha wangu! Tutarudi sa ngapi? Au tulale kule kule kwenye vile vibanda vya makuti pale kipepeo beach?? Nijibu nijue nabeba nini na nini!!
 
Mdada kifo hakina Formula!

ninapo tafakari,moyoni wangu najiambiamimi ni udongo mavumbini nitarudi .imenipasa kuzitafakari njia zangu.dunian tunapita..rip.kanumba.:flypig::A S 465::bange:
 
Mkuu, hii AVATAR yako, namuona Kronos hapo ..... Hahahaaaa....

 
Mizizi naona umejisahau.kifupi haya ni madhara ya wakina dada au kina kaka kugawa namba za simu kwa kila anayeomba. unapotoa namba ya simu utegemee kupigiwa.KAMA UPO SINGLE haina tabu.ukiwa kicheche saaaana utakula na kuku aliyetiwa sumu.
 
Yale yale ya simu ambayo huzuaga mijadala mikali sana humu!

Wakati mwignine najisemeaga ni kheri tu mtu uwe singo manake misala kama hii utaisikia kwa wengine tu. Sasa Lulu hakutaka Kanumba ajue kwenye upande wa pili wa simu nani alikuwepo.

Purukushani zikatokea zikamgharimu mtu uhai wake. Sasa, je kwa nini Lulu aligoma kutoa ushirikiano kwa Kanumba? Ni aliona faragha yake inavamiwa? Alikuwa na la kuficha?

Ni yeye tu anayejua hayo. Inasikitisha.
 
Jamani ubinadamu mnauacha wapi?
 

Usikute ndugu yake Kanumba ndio alikuwa anakula mzigo huo! Ndio maaana alitumia nguvu zote kuficha aibu hiyo kubwa isije lipuka!!
 
Usikute ndugu yake Kanumba ndio alikuwa anakula mzigo huo! Ndio maaana alitumia nguvu zote kuficha aibu hiyo kubwa isije lipuka!!

Mmmh... kumbe alikuwa Mr Komba
 
lulu alipigiwa simu usiku aende kwenye. dili kanumba akakataa.hiko ndio chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…