Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

Its good that Lulu gives her life to God for circumstances she has experienced and happened to be very big lesson. Her security and peace of mind will be attained after she has committed her life to God. Otherwise this world is full of trouble.
 
Inabidi nimtafute lulu wangu leo baada ya kuachiwa tukapate chakula pamoja..najua atakua na hamuuuuu si ujua siku nyingi..ila nasikia anamimba???

Ukome kumsingizia mtoto wa watu mimba.
Mimba toka mwezi wa nne 2012.sasa hivi angekuwa na mtoto.mwacheee mtoto wa watu wewe wa kumpa lunch za vichochoroni tandale.na Mh tumbo tumbo aende na nani Serena?
 
Jamani jela mtu ananenepa vile!?Sio bure.

Kunenepa mtu akiwa mahabusu ni kuridhika tu na jinsi unavyopewa moyo na watu.Mungu ni mkubwa mtoto huyo kuachiwa kwa dhamana.Kwa sababu ni haki ya kila mmoja.Mambo ya kuzungumzia kuwa amemiss red Capet ni mambo ya utoto tu, kwa ajili ya kupamba magazeti pendwa lakini naamini kuwa atakuwa amejifunza mambo mengi na atakuwa mtulivu kwa sasa.
 
Kaazi kwelikweli..
Jamani kwanini tunatoa negative comments wakati wote?
Mi siachi kuwashangaa pia watu wanaoweka kigezo cha kuharibiwa na kufanya ngono kwamba ndiyo kukua,nawashangaa sana.. Wakati kila mmoja mwenye akili timamu anajua kigezo cha kukua ni umri wako ulioishi hapa duniani.
Jamani pia kuna watu wanaturudisha nyuma eti kauaje bila kukusudia,bila kuweka mawazo yao kwamba kwa nini wanadhani kaua kwa kukusudia..
Mwingine anahoji kesi kupelekwa haraka,wanasahau hiyo roho iliyopotea wakati wa mtafaruku wa kimapenzi,hata Rais wa nchi yetu alihudhuria msiba wake..
 
Ni vizuri kutumia kichwa chako kufikiri,kuliko kukitumia kwa kufugia nywele..quoted..by Fred Werema
 
source: channel 10

Ameachia leo kwa dhamana lakini kesi bado inaendelea. Amepata dhamana kwa sababu kesi yake ni ya kuua bila kukusudia na kisheria dhamana iko wazi kwa mtuhumiwa wa kuua bila kukusudia

Amekaa mahabusu takribani mwaka mmoja.

Tumejifunza nini kuhusu kesi hii?

Kesi hii imelitikisa Taifa kutokana na Lulu kuwa mtuhumiwa wa kifo cha msanii mkubwa ( KANUMBA).

Tunafikiri mama Kanumba anachukuliaje suala hili?

Ni maswali magumu kupata majibu sahihi.
 
Akaanze kuliwa sasa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Uchangu na usupastaa uchwara vimmemponza. Sidhani huko rumande kama amepona. Askari wetu wanavyopenda chini na ukizingatia kuwa mtu mwenyewe ni mwingi, lolote lawezekana. Laiti angejifunza na kuachana na upuuzi na kujikita kwenye shughuli itakayomsaidia maishani!
 
source: channel 10

Ameachia leo kwa dhamana lakini kesi bado inaendelea. Amepata dhamana kwa sababu kesi yake ni ya kuua bila kukusudia na kisheria dhamana iko wazi kwa mtuhumiwa wa kuua bila kukusudia

Amekaa mahabusu takribani mwaka mmoja.

Tumejifunza nini kuhusu kesi hii?

Kesi hii imelitikisa Taifa kutokana na Lulu kuwa mtuhumiwa wa kifo cha msanii mkubwa ( KANUMBA).

Tunafikiri mama Kanumba anachukuliaje suala hili?

Ni maswali magumu kupata majibu sahihi.

Sheria ndivyo ilivyo.
 
... kesi bado iko mahakamani... cha kujifuza ni KUACHA USHERATI NA UZINZI
 
weto Kazi moto mbona umechelewa kutujuza sasa.................. au na we' ndo umepata taarifa muda huu??.

siku nyingine uwahishe habari kama hizi
 
Muda mchche baada ya kukabidhiwa kwa mama yake mzazi, msanii Lulu amesema anawashukuru sana watanzania wanaoendelea kuwa pamoja na yeye na kusema kuwa anamtegemea sana Mwenyezi Mungu kwani yeye ndiye mtetezi wake na kuwa yeye anajua Ukweli kuhusu suala linalomkabili.
 
...Nje kidoogo ya mada. Katika kipindi choote cha bint kuwa Mahabusu nilikuwa siishi kushangazwa na 'umati' mkubwa wa askari wa magereza wadada waliokuwa wakimsindikiza mtuhumiwa kila siku kesi yake ilipokuwa ikitajwa. Nikahisi kuwa ilikuwa ni kwa sababu ya uhakika wa kuonekana kwenye picha za magazeti na tiivii! Nahisi hata walikuwa wanagombania kuwa wasindikizaji. Chezeiya kuuza Nyago wewe...!!:becky:
 
eeeh! atulie sasa! ,maana maneno matakatifu yanasema "kila alitajaye jina la bwana na aache uovu"
 
Back
Top Bottom