Lulu ana mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lulu ana mimba

Discussion in 'Celebrities Forum' started by wagagagigikoko, May 7, 2012.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3]Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo  KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU
  :Ombi la wakili wa Lulu kuhamisha kesi mahakama ya watoto lakataliwa mbali baada ya kuwakilisha cheti chenye jina tofauti na la Mtuhumiwa[/h]  [​IMG]
  Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.
  Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimianini mimi Lulu hana mimba amepimwa na kuthibitika hana mimba. Mengine ni nyago za magazeti.
   
 3. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masikini lulu,sipati picha anavyowashwa na iyo nguo ndefu.mhh khs mimba mbona iyo ilivuma muda mrefu...ishachuja
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Zile zilikuwa na mbwembwe tu, usinichekweshe.
   
 5. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ..... Mzee wa Rula..unavyokuja na statement of FACT kama hiyo inabidi uwe na uhakika 100%...labda uwe umehusika moja kwa moja kumpima..
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Jamani Lulu huwa Ana kistachi.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hana mimba ugali na uji wa jela umempenda.
   
 8. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  icho kistachi mpaka kwenye matiti ona yalivyo makubwa alikuwa 6 o'clock
   
 9. ram

  ram JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,226
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hivi wafungwa na mahabusu wengine wanalindwa na nani? Maaskari wanaooneka tu hapo wako zaidi ya kumi, au kwa vile mnasema ni mtoto ndo sababu anasindikizwa na askari wote hao? Kuhusu umri Llulu atuambie mwenyewe kwanini alifanya birthday part ya kufikisha miaka kumi na nana 2011, alimaanisha nini kufanya part hiyo? Nw watu wanaibuka mara ana miaka 16 mara 17 na wakati yeye mhusika anasema ana miaka 18.

  Ninyi mawakili wala hamjajitolea kumsaidia lulu, najua mnalipwa sasa mnataka kupindisha sheria, fanyeni kazi kulingana na maadili yenu, najua kuna babu yake na lulu (mjomba wa mamaye) anahela sana, tunajua mtalipwa hela nyingi sana ili kumuokoa lulu na adhabu yoyote but fuateni maadili ya kazi yenu
   
 10. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata afande kama naye ana wasiwasi ona anavyomtizama.
   
 11. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  MH Maadili ya advocates unayajua? Lulu ni client wao kama biashara nyingine yoyote so they have to do whatever is in their means kushinda kesi, so hata wakiongezewa mipesa its olryt!!!!
  naomba kutoa hoja!
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nimeamini kuhukumu si kazi rahisi...

  Kama ungekuwa hakimu wa kesi hiyo.. Nadhani siku ile ya kwanza ya kutajwa kwa kesi, ungeshamfunga maisha kama si kuhukumu anyongelewe mbali!
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Halafu jamaa anaquestion sherehe ya kutimiza miaka 18... Si maamuzi yake binafsi? Na huenda ilimsaidia kwa wakati huo,ila kwa sasa ule uongo hauhitajiki tena,vinahitajika vidhibiti.. Navyo ni kama hicho cheti cha kuzaliwa!

  Watu wangapi wanaopenda kutaja umri wao waziwazi? Ingia katika mitandao,au uliza mtu jina atakwambia,jaribu kumwuliza umri sasa..
  Tafakari mkuu!
   
 14. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,723
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  mkuu siyo mimba hiyo..ni maharage ya selo hayo.
   
 15. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mpaka hapo imeshatosha, amepata adhabu na funzo kubwa. Wamwechie huru akatumike shahada ya elimu dunia
   
 16. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Yaani tumsamehe tu, ameshajifunza kwa kweli huyu mtt.
   
 17. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtoto kuanzia saa 12 jioni anakuwa nyumbani na mama yake
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu lulu mnamwita mtoto na ukahaba wote aliokuwa anafanya!! Kweli ngozi nyeusi ina laani sijui..
   
 19. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hilo tumbo la pombe tu, hamna kitu kipya............
   
 20. M

  Mama Bhoke Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  labda kula na kulala ndio kumempenda,alikuwa anafanya mambo yaliyo mzidi umri
   
Loading...