Lukuvi: Mbunge, Mkuu wa Mkoa, M/kiti bodi ya wakurugenzi wa taasisi ya Umma!

Napendekeza Lukuvi awe mkuu wa mkoa wa D'salaam wa kudumu. Kwani naona anajua kuchokonoa watu sana.
Hivi? yeye ni wa mwanzo? Mbona imekaa kisubjective sana
Wekeni hoja hata kwa Rais kuwa mwenyekiti wa chama. Macho yetu yaone kwa upana kuliko kuweka focus kwa watu. Wekeni hoja majina ya nini?
 
Hata kama katiba inaruhusu ila hata Rais mwenyewe(anayeteua) atleast awe na aibu kwa hili. inamaana nchi nzima ni yeye tu Lukuvi ndo kiongozi! hakuna mwingine anayeweza kuwa Mkuu wa Mkoa!!
Hivi wewe ndibalema unamuona rais wetu huyu kuwa ana aibu kweli? we angalia tu anayofanya utagundua hakuna cha aibu. Kinachoweza mkumtia adabu ni katiba murua.
Na jambo la kuondoa madaraka ya kijinga jinga haya kwa rais ndio ilikuwa issue kwa Kenya. Maana rais alikuwa apendi kifungu cha kumpunguzia madaraka kiwepo katika katiba mpya. Wanatafuta kuwa wafalme wa kileo.

Hukumsikia Dodoma akilonga na wana sisi M wenzie vichwa maji wale, akitamba kuwa yeye ni rais na hawezi kusikiliza hata habari za haki za binadamu. Sijui mara nyingine huwa anafyatuka kichwani? Alafu kwa akili zao ndogo wajinga wale walikuwa wanamshangilia!
Mungu yupo. Ndiye atalipiza uovu huu. Maana kwake hakuna cha rais wala nani. Wote tunakuwa sawa mbele zake.
 
Napendekeza Lukuvi awe mkuu wa mkoa wa D'salaam wa kudumu. Kwani naona anajua kuchokonoa watu sana.
Hivi? yeye ni wa mwanzo? Mbona imekaa kisubjective sana
Wekeni hoja hata kwa Rais kuwa mwenyekiti wa chama. Macho yetu yaone kwa upana kuliko kuweka focus kwa watu. Wekeni hoja majina ya nini?

Majina ni muhimu sana kuyataja kwani hawa watu ni public figure and their names are public siyo anonymous hawataki kutajwa wajiuzulu na kukaa pembeni kama wengi walikuwepo serikalini ambao leo hii hawasikiki.
 
Back
Top Bottom