Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

Dahhhh simiyu kuna shida......

Umeona eeh. Kama Simiyu ina misukule wa namna hii, hii nchi haitakaa iendelee. Msigwa alimtaja Kinana kuwa ni jangili, sasa anataka majina gani tena? Kufikiria kwa kutumia tumbo ni kubaya sana
 
Kwa nini bungeni kila mbunge akisimama anasema majangili wanajulikana halafu anataka wengine wataje badala ya yeye kutaja kama kweli anawajua.

Mbona Mch.Msigwa alitaja? Mimi nadhani ni tatzo la serikali yetu viongozi kutokuwa na maamzi na hii ni kutokana na kuwa ni ya wala rushwa. Mungu aturehemu tu na laana hii.
 
Kwa nini bungeni kila mbunge akisimama anasema majangili wanajulikana halafu anataka wengine wataje badala ya yeye kutaja kama kweli anawajua.

msigwa kila siku anawataja wavuna pembe za ndovu
 
Jamaa huyu amekuwa akitoa majibu ya kihuni bungeni kwa anavyodhani yeye na pia boss wake Pinda majibu hayo tabasaidia CCM kumbe ukweli ni yanaua chama.

Mtu wa haiba yake hakupaswa hata kuingia bungeni maana ni limbukeni kwa mtazamo wangu ambaye hana kifani. Ulimbikeni wake unatokana na kufikiri ana akili sana na hivyo kupotosha bunge, chama na serikali pia.

Tujiulize mara kadhaa ameamka bungeni na kusema serikali haitaji majina bado inafanya uchunguzi wa wauza unga, na sasa inafanya uchunguzi wa majangili wa wanyamapori.

Suala langu kwani wauza unga ni mtu mmoja au kikundi kimoja? kwani majangili ni mtu mmoja au kikundi kimoja? Kama jibu ni siyo basi Lukuvi ni bogus saana.

Kwani mzinzi mmoja hakamatwi au hatajwi mpaka wote wanaozini wajulikane harafu watajwe kwa pamoja? yaani majaji na mahakimu wala rushwa hawakamatwi mpaka wote wawe wamechunguzwa na kutangazwa kwa pamoja? kwani mwizi mmoja hakamatwi mpaka na wezi wengine wajulikane ndo wakamatwe kwa pamoja.

Lukuvi anadanganya bunge kila mara serikali haiwezi kutaja majina wakati bado uchunguzi unaendelea je hakuna mtu au kikundi cha wauza unga au majangili ambacho uchunguzi umekamilika??? kwanini hawa wasitajwe na kukamatwa??? kwa style hii serikali haitataja hata siku moja wauza unga wala majangili maana haiwezekani kuwapata wote kwa wakati mmoja eti ndo uwataje na waanze kushughulikiwa.

AIBU KWA LUKUVI na serikali yake, AIBU KUBWA KWA CCM. AIBU KUBWA KULIKO KWA RAIS wa nchi ambaye amempata hiyo dhamana.

TUNATAKA MTUTAJIE AMBAO UCHUNGUZI UMEKAMILIKA, vinginevyo mseme hakuna hata uchunguzi mmoja umekamilika ambayo ndo aibu yenyewe.

Nawasilisha

Ndugu yangu Fikirikwanza nadhani umesahau jambo moja kwamba uko Tanzania...Hii ni nchi ambayo kuna mambo yanafanyika ambayo hayajawahifanyika Mbinguni au Kuzimu...Ni sehemu ambayo Mtu anaweza akasema ANAYO ORODHA YA WAUZA DAWA ZA KULEVYA NA NIMEIKABIDHI KWA VYOMBO HUSIKA WAIFANYIE KAZI.....baada ya kupita siku mbili tatu bila kutoa taarifa ya orodha anayo ifanyia kazi mtu huyo huyo kupitia njia ilele ya awali na tena labda waandishi walewale wa habari atatoa agizo la KUWAOMBA WANANCHI KUMPELEKEA ORODHA NYINGINE YA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA na mind you hakuna atakaye uliza swali?! haya mambo yanafanyika katika Nchi moja inayoitwa Tanzania ambayo licha yakuwa na kila kitu Watu,Ardhi,Siasa (safi) lakini imekosa viongozi bora.

Ni katika nchi hii tu ambapo Raslimali Muhimu kama Gesi inachimbwa bila kuwepo na sera wala sheria na anaye hoji anabutuliwa mateke na kutwanga risasi na kufa na hutasikia wa kuhoji wala kuuliza ....Nikatika Nchi hii ambayo imezungukwa na maziwa makubwa lakini...wananchi wake wanakula Mapanki na wakiambiwa ukweli kwamba wanakula mapanki licha ya kwamba wana haki ya kumla sangara wanaandamana kumlaani anayewaelimisha kwamba amewatukana....

Ni katika nchi hii ambayo Mkulima wa zao la Biashara anaweza akalima na kulazimishwa kuuza kwenye chama cha ushirika Mazo yake kwa mkopo na viongozi wa ushirika huo wakala hela zote za mkulima na kesho wakaja kumdai alipie pembejeo walizomkopesha na wasifanywe kitu....Ni katika nchi hii muwekezaji ananunua kiwanda kikubwa cha uzalishaji kwa bei ya chapati mbili na bumunda na kukigeuza kuwa sehemu ya kuuzia magari ya mitumba kutoka ng`ambo au vibanda vya kuuzia vocha za simu nK na mitambo iliyomo kiwandani anaiuza kama chuma chakavu na mtu asimuulize kitu....

Nikatika nchi hii tu ambapo mwanafunzi anafeli Mtihani halafu kikundi cha watu wachache wanajifungia kwenye chumba na kufanya Hardakadabra pamoja na miujiza mingine na ghfla wale waliofeli wanafaulu na wananchi wanashangilia na kupiga makofi....Ni katika nchi hii tu ambapo mtu aliyeiba mabilioni is walking scotish free as hero and inventive person na hata akishtakiwa kesi yake itaenda haraka na kuachiwa haraka na aliyeiba kuku kwa ajili ya kitoweo cha siku anachomwa moto kwa Tairi , kulaaniwa na kuuwawa...Ni katika nchi hii mwananchi aliyepakana na mbuga atakapo kamatwa ameokota kamzoga kasungura aliyegongwa na gari atahukumiwa kifungo cha miaka mitano na faini juu lakini aliyekamatwa ready handed akisafirisha Twiga Mzima pamoja na Tembo akiachiwa na Mahakama kwa kukosekana ushahidi....Ni katika nchi hii ambapo kituo kikubwa cha Polisi kian vamiwa na kuibiwa vidhibiti na mali nyingine licha ya kwamba hakifungwi kwa saa zote 24 mambo ni mengi....vumilia tu mwanangu we kula kwa urefu wa kamba yako USIULIZE MPAKA WA SHAMBA ...
 
Yaani inapendeza mpaka raha.Wiki iliyopita mpaka sasa kumetokea mabadiko makubwa ya kisiasa jimboni Kalenga ambayo pamoja na kazi kubwa inayo endelea kufanywa na makanda,sababu kubwa za mabadiliko hayo ni Hotuba ya M/kiti wa ccm taifa dhidi ya rushwa ndani ya ccm,Kukamatwa na kuhusika mwana ofisi ya Mbunge Lukuvi na kashfa ya Kuuza meno ya Tembo ni sababu ambazo zimefanya chadema sasa kung'ara kwa kuwa kimejionesha ukweli,na nzuri zaidi waziri kivuli wa utalii na maliasili yupo hapa Iringa na ameongeza point kwa kauli yake "WAPO VIGOGO WA CCM NA SERIKALI WANAHUSIKA NA BIASHARA YA MENO YA TEMBO".HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA,MKIA ULIOBAKI KUMALIZIA NG'OMBE' ccm ni kazi ndogo sana kwetu wanachadema,ila tusibweteke,nayo ni kujenga msingi imara wa nyumba chadema.KAZI HII NDIYO INAYOFANYWA HAPA JIMBO LA KALENGA AMBAPO JUMLA YA VIJANA 180 Kutoka vyuo vikuu mbalimbali wanafanya kazi kwenye vijiji,vitongoji na familia vya jimbo la Kalenga.MWENDO MDUNDO CHADEMA.

Sawaa Mwamahondo
 
Kwa nini bungeni kila mbunge akisimama anasema majangili wanajulikana halafu anataka wengine wataje badala ya yeye kutaja kama kweli anawajua.

Mkuu Ubunge ni ajira kwa hiyo siku hizi mtu anaposimamam kuchangia ni iliaonekane amechangia na siyo kuwasilisha mchango kwania ya kuboresha hoja kwa maslahi ya Taifa haina tofauti na ngoma ya mchiriku au sebene
 
EEEEE!
Na mkome KUKUBALI kuchaguliwa MAMBUMBUMBU na MAPOYOYO KUSHIKA NYADHIFA KUU ZA UONGOZI KAMA YA RAIS! Maana na yeye atawaletea mapoyoyo wenzake na nyinyi mtabaki kulalamika kutwa kuche!
 
Lukuvi hana akili hata kidogo ..uwezo wake ni mdogo sanaaaaa...kama unabisha google cv yake ndo utajua why anakuwa na majibu ya vile
 
Lukuvi ubunge wake na uwaziri ni wa waganga wa kienyeji! Maana elimu yake ni ya msingi std 7

Kwani kuwa na elimu ya STD 7 kunamzuia kuwatumikia wananchi? chief Mkwawa wa iringa alikuwa graduate? Hizi formal education zisikupumbaze uanze kudharau wakubwa zako, isitoshe sifa za kugombea ubunge zinataka mtu awe na akili timamu na ajue kusoma na kuandika etc. Kama Lukuvi ana elimu ya darasa la saba na bado ameweza kutumikia wananchi kwa weledi mkubwa miaka yote hiyo, basi apongezwe, sio abezwe!
 
Elimu ya darasa la 7 is not a crime na kama amekuwa waziri na elimu yake ndogo na capacity yake inauwezo wa kusimama ndani ya bunge na kutoa hoja tatizo liko wapi?
Dah we nawe hoja zipi anazotoa ?Si ndo kinacholalamikiwa hapa mara nyingi amekuwa akipotosha kanuni ya 64. leo kudaganya na kutoa kauli za kejeli na hovyo hovyo ndani na nje ya bunge.
Pia mleta mada ajue si kwamba Lukuvi anayumbisha serikali ya Jk bali ni serikali (jahazi) zima linayumba.
Elimu ya Std kutuongoza leo hii its a serious crime againist humanity hata wanyama kama sokwe our closely relative in DNA hawawezi kukubali kuongozwa na elimu hiyo.
 
Ukiwa CCM hata kama unadegree kumi unaziweka mfukoni kwanza ndio unaweza kufanyakazi. Si mnamwona Prof. Mwongo anavyo ongea

Aisee kweli naona prof katupa madigirii yake chooni chama kwanza-uwiiii. Huyu wajukuu zake watakuja chimba kaburi yake wamfukue wafanye utafit
 
Lukuvi janga tena kubwa kuliko tsunami, amegeuza bunge sehemu ya kuleta mizaha yake ambayo may be hakufanya alipokuwa under age.
 
Lukuvi ubunge wake na uwaziri ni wa waganga wa kienyeji! Maana elimu yake ni ya msingi std 7
Kma kuna waziri ambaye ni kanjanja ni Lukuvi, amelelewa katika propoganda na ujanjaujanja wa CCM, hanaga lolote la maana zaidi. ukitaka kumfaidi kuwa nu muongo mwangalie anavyopepesa macho na masikio akiongea kama Mr Bean
 
Jamaa huyu amekuwa akitoa majibu ya kihuni bungeni kwa anavyodhani yeye na pia boss wake Pinda majibu hayo tabasaidia CCM kumbe ukweli ni yanaua chama.

Mtu wa haiba yake hakupaswa hata kuingia bungeni maana ni limbukeni kwa mtazamo wangu ambaye hana kifani. Ulimbikeni wake unatokana na kufikiri ana akili sana na hivyo kupotosha bunge, chama na serikali pia.

Tujiulize mara kadhaa ameamka bungeni na kusema serikali haitaji majina bado inafanya uchunguzi wa wauza unga, na sasa inafanya uchunguzi wa majangili wa wanyamapori.

Suala langu kwani wauza unga ni mtu mmoja au kikundi kimoja? kwani majangili ni mtu mmoja au kikundi kimoja? Kama jibu ni siyo basi Lukuvi ni bogus saana.

Kwani mzinzi mmoja hakamatwi au hatajwi mpaka wote wanaozini wajulikane harafu watajwe kwa pamoja? yaani majaji na mahakimu wala rushwa hawakamatwi mpaka wote wawe wamechunguzwa na kutangazwa kwa pamoja? kwani mwizi mmoja hakamatwi mpaka na wezi wengine wajulikane ndo wakamatwe kwa pamoja.

Lukuvi anadanganya bunge kila mara serikali haiwezi kutaja majina wakati bado uchunguzi unaendelea je hakuna mtu au kikundi cha wauza unga au majangili ambacho uchunguzi umekamilika??? kwanini hawa wasitajwe na kukamatwa??? kwa style hii serikali haitataja hata siku moja wauza unga wala majangili maana haiwezekani kuwapata wote kwa wakati mmoja eti ndo uwataje na waanze kushughulikiwa.

AIBU KWA LUKUVI na serikali yake, AIBU KUBWA KWA CCM. AIBU KUBWA KULIKO KWA RAIS wa nchi ambaye amempata hiyo dhamana.

TUNATAKA MTUTAJIE AMBAO UCHUNGUZI UMEKAMILIKA, vinginevyo mseme hakuna hata uchunguzi mmoja umekamilika ambayo ndo aibu yenyewe.

Nawasilisha

matatizo yote chanzo ni wananchi
 
Dahhhh simiyu kuna shida......

Mkuu mi mwenyewe naishi simiyu watu wa huku wanasema ''yaya lolo'' yaani imetosha lakn kinachonishangaza zaid ni hy jamaa mwenye id ya simiyu yetu sina uhakka kama zinamtosha. Naomba kuwasilisha
 
Kama hawabadiliki tuwakataeni, ni janga kwa watoto wana wajukuu wetu, it is very expensive to keep kimya with this
 
Bunge la Kumi ni BUNGE BOVU Kwa kila hali kwa UPANDE WA CCM, Mungu atusaidie watu kama WL wasirudi bungeni hata katika siasa za NCHI HII
 
Back
Top Bottom