Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

Bila chuki binafsi tafadhali naomba kujua , Hv ni kweli waziri Lukuvi ni std 7? Kama ni kweli , ina maana ndiyo tulipofikia au kuna kitu cha muhimu ambacho mheshimiwa Rais amekiona kwa huyu mh hadi kumteua kuwa waziri wa ofisi ya waziri mkuu sera uratibu na bunge? Si vema kufanya siasa za maji taka hivi huyu si ndio mnadhimu wa serikali bungeni?. Binafsi siamini.
 
Mbona Mh. Msigwa alitaja mkawa wa kwanza kumropokea? Mnataka atajwe nani? Au mnasubiri atajwe mwanachama wa cdm ndiyo mkubali? Watu mmejaa propaganda na ubabaishaji, uzugaji na utapeli halafu mnajifanya sikivu. Nonsense!!! Jangili mkuu katajwa - kinana, wasaidizi wake ndiyo hao kina Lukuvi(throgh katibu wake), bado yanasubiriwa majina gani? Hivi kweli tunasubiri Lukuvi ajitaje? Ataje na wenzake? Ndoto za alinacha!!!!
 
Bila chuki binafsi tafadhali naomba kujua , Hv ni kweli waziri Lukuvi ni std 7? Kama ni kweli , ina maana ndiyo tulipofikia au kuna kitu cha muhimu ambacho mheshimiwa Rais amekiona kwa huyu mh hadi kumteua kuwa waziri wa ofisi ya waziri mkuu sera uratibu na bunge? Si vema kufanya siasa za maji taka hivi huyu si ndio mnadhimu wa serikali bungeni?. Binafsi siamini.

Hao ni TISS walioapa kiapo cha utiifu kwa mamlaka, ndiyo maana wanashika hizo ofisi. Uunwaji wa serikali Tanzania bado ni wa kisiri na wa mfumo usalama, ndiyo maana kelele zitapigwa lakini akina Mulugo watamaliza miaka tano
 
Kwa hiyo TISS ndio wanakuwa std 7 au maana hapo hata sijakuelewa mkuu.
 
Uchunguzi usioisha ni ufisadi kama ufisadi mwingine, haki inayocheleweshwa ni sawa na ulipotea
 
Hao ni TISS walioapa kiapo cha utiifu kwa mamlaka, ndiyo maana wanashika hizo ofisi. Uunwaji wa serikali Tanzania bado ni wa kisiri na wa mfumo usalama, ndiyo maana kelele zitapigwa lakini akina Mulugo watamaliza miaka tano

Nilidhani TISS wanatakiwa wawe ni vichwa haswa. Kumbe every Tom, Dick and Harry anaweza kuwa TISS. Kaazi kweli kweli.
 
Lukuvi ni muuza madawa ya Kulevya na Jangili wa nyara za Serikali ndiyo maana pale bungeni anatetea kila uhalifu siku zote, hasaidii nchi, mwananchi, chama, serikali wala familia yake zaidi ya tumbo na ujinga wake kichwani.
Lukuvi asingekuwepo tungepata faida au hasara??
 
K.i.b.u.r.i tuu... Kila kitu wanajua vzuri tu...hamna cha uchunguzi wala mchunguzi sound tuu
 
Kwa nini bungeni kila mbunge akisimama anasema majangili wanajulikana halafu anataka wengine wataje badala ya yeye kutaja kama kweli anawajua.

Mbona Peter Msigwa alimtaja Kinana, wewe na jamaa zako mkaja hapa jf kumtukana Msigwa??
Mbona anao ushahidi wa Kinana kuhusika na biashara ya meno ya Tembo, hamjamtaka autaje?? je hujasikia kuna wabunge wa majimbo ya kusini wanatajwa na biashara hiyo?

Ipende Tanzania zaidi ya chama chako.
 
Hawa wajamaa wanaboa,wanafanya hata jukwaa linapungua utam na kulivuta taifa shati,hawa ni wale zamani waliitwaga 'mbumbumbu mzungu wa reli',hata uchape vipi halielewi,kama huyu anayezurura hapa leo ukifika kule kwao weye utatoa chozi lakini yeye hajali,ajali chama chake na tumbo lake tu nothing else!!!"nyambaf".Na huyo mbeba uzi ni jangili pia,ajitaje ilhal yu katika ukoo wa panya naye akiwa kama panya buku kiongozi???Na kwa mtu makini aliyemwangalia kwa makini wakati akiongea ni wazi aligundua uhusika wake wa moja kwa moja hasa pale alipomalizia kwa kupigilia msumari 'kuwataja kwa sasa "haiwezekani"'.
 
Sku hizi ana degree ya kununua. YEYE NI MIONGONI MWA MFISADI W ELIMU
 
Yaani inapendeza mpaka raha.Wiki iliyopita mpaka sasa kumetokea mabadiko makubwa ya kisiasa jimboni Kalenga ambayo pamoja na kazi kubwa inayo endelea kufanywa na makanda,sababu kubwa za mabadiliko hayo ni Hotuba ya M/kiti wa ccm taifa dhidi ya rushwa ndani ya ccm,Kukamatwa na kuhusika mwana ofisi ya Mbunge Lukuvi na kashfa ya Kuuza meno ya Tembo ni sababu ambazo zimefanya chadema sasa kung'ara kwa kuwa kimejionesha ukweli,na nzuri zaidi waziri kivuli wa utalii na maliasili yupo hapa Iringa na ameongeza point kwa kauli yake "WAPO VIGOGO WA CCM NA SERIKALI WANAHUSIKA NA BIASHARA YA MENO YA TEMBO".HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA,MKIA ULIOBAKI KUMALIZIA NG'OMBE' ccm ni kazi ndogo sana kwetu wanachadema,ila tusibweteke,nayo ni kujenga msingi imara wa nyumba chadema.KAZI HII NDIYO INAYOFANYWA HAPA JIMBO LA KALENGA AMBAPO JUMLA YA VIJANA 180 Kutoka vyuo vikuu mbalimbali wanafanya kazi kwenye vijiji,vitongoji na familia vya jimbo la Kalenga.MWENDO MDUNDO CHADEMA.
 
Hangaikeni lakini ishieni hukohuko Kalenga. Uongozi wa kitaifa una wenyewe...
 
Nani ya ccm huwezi pima watu kwa elimu maana wote wanafanana.nipe tofauti ya proph tibaijuka na prof maji marefu,muhongo na lukuvi,wasira na lusinde,sofia na pinda?
 
Back
Top Bottom