LUKU...........LUKU........... LUKU jamani......

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
hebu wenye ufahamu mzuri juu wa wanaouza umeme wa luku na faida zake.........nataka niombe usajiri na procedure mpaka za kupata uwakala.
 
Faida zipo, vinginevyo watu wasingeuza.. Nenda TANESCO kwa maelekezo, maswali yote yatapata majibu.
 
Mwandishi anajua kuwa majibu yapo TANESCO lakini nadhani amelileta hapa kwa kuamini kuwa magreat thinkers wanaweza kumpatia msaada hata kabla ya kwenda huko TANESCO. Ndo maana mtu unakuta analeta maada ya ugonjwa na watu wanamsaidia kama ni hivo si wangemuambia aende hospitali. Kwa hiyo watu huleta mada hapa kwa sababu wanajua watapata majibu ya uhakika na ya haraka kuliko kufunga safari na kwenda sehemu husika
 
nazan umempa jibu stahiki
 
Kwa sasa nashauri usinunue luku kwa airtel money kwa kuwa unakatwa hela na umeme hupati. Wanasema try again later wakati hela wamekata.
 
Back
Top Bottom