Ulitaka wamuonee huruma nani
Ulitaka wamuonee huruma nani
Soon ataachia wimboKiki tu kama wengine sababu hana impact yoyote anatembea na upepo pakutokea. njaa mbaya
Ilo lina ubaya gani kama imeongeza namba ya awareness kwa followers wake uko IG?Lukamba anatumia upepo kutrending hamaanishi hiko anachozungumza muda si mrefu utaona atatoa wimbo
Na wewe jaribu kupost au hata kutaja jina lako halisi hapa JF kama ni rahisi kiasi hicho.Soon ataachia wimbo
Hao unaoona wana impact wamekaa kimya wanajificha kwenye makundi ya WhatsApp au hapa JF. Hawana uthubutu wa Lukamba.Kiki tu kama wengine sababu hana impact yoyote anatembea na upepo pakutokea. njaa mbaya
Yaani mmefikia level ya kumtegemea Lukamba? ndio mnataka nchi.... pumbavuuuuuuuHao unaoona wana impact wamekaa kimya wanajificha kwenye makundi ya WhatsApp au hapa JF. Hawana uthubutu wa Lukamba.
Kama atapata kiki masuala muhimu ni jambo zuri kuliko kupata kiki za kuvaa shanga kama wewe.
Kama anania ya kweli angeamasisha watu waingie mtaani wadai Polepole maana Kama kupostiwa wengi wamepost, yeye anafanya Nini cha tofautiHao unaoona wana impact wamekaa kimya wanajificha kwenye makundi ya WhatsApp au hapa JF. Hawana uthubutu wa Lukamba.
Kama atapata kiki masuala muhimu ni jambo zuri kuliko kupata kiki za kuvaa shanga kama wewe.
Yeye na Wewe wote ni wanafiki keyboard warrior na huyo kafanya hivyo ni kwasababu anataka kuachia wimbo ili uende mjini kwa haraka apate maslahi yake binafsiUkikaa kimya wakati uovu unatokea basi na wewe unakuwa una support huo uovu ,kwa sirikali hii ya mafashisti(manduli) kuongea hivyo hadharani ni kuiweka roho yako rehani.
Kama Chaula ameuliwa kwa kuchoma tu mchoro wenye picha ya "BINTI CHURA WA SAMAWATI" vipi kama ukipiga kwenye MSHONO?
Kama ni mkosoaji wa sirikali inabidi uishi kimafia kama ZAKARIA ,wakija bila GUARD unawamwagia "NJUGU" bila idadi.
Kutrending ndio kufanya nini?Lukamba anatumia upepo kutrending hamaanishi hiko anachozungumza muda si mrefu utaona atatoa wimbo
KuzungumziwaKutrending ndio kufanya nini?
Aisee,Ukatili na utekaji wa watu wasio na hatia umeendelea kuwa ndio kitu pekee serikali ya Samia wanafanya kwa ustadi mkubwa.
Kumbe ndo kazi yako hiiHuyu nae siku zake zinahesabika!
Asipofunga kopo lake
Lukamba ni mtanzania ambae ameona kuna haja ya kukemea utekaji. Kwenye hii movement kila mtanzania ni muhimu. Sijaelewa kwa nini hii inakuumiza?Yaani mmefikia level ya kumtegemea Lukamba? ndio mnataka nchi.... pumbavuuuuuuu
Yani wewe ni katoto kweli kweli 😂😂😂Kama anania ya kweli angeamasisha watu waingie mtaani wadai Polepole maana Kama kupostiwa wengi wamepost, yeye anafanya Nini cha tofauti
Wewe ndiyo mnafiki.Watu wa aina hiyo wanakuwaga wanafiki tu hawanaga impact yoyote hapo anataka kucheza na akili za washabiki wake baada ya kuona wakina Diamond wamepata mashambulizi kwenye social media so anajisafisha kimtindo
Akina Ben Sanane na familia zaoUlitaka wamuonee huruma nani
Hakuna mtu wa maana unajishusha sana kutoa kauli hizi za kijinga, Chadema kama wanataka kupigania haki wapiganie kama chama usitegemee Lukamba sijui huu ni upumbavu. Shida kubwa ya Chadema kurukia agenda hawana mikakati ya wazi.Lukamba ni mtanzania ambae ameona kuna haja ya kukemea utekaji. Kwenye hii movement kila mtanzania ni muhimu. Sijaelewa kwa nini hii inakuumiza?
Hao unaoamini ni watu wa maana utokaa uone wamefungua midomo yao.
Ishu hapa ni Lukamba na Polepole, wewe unaleta habari za CHADEMA.Hakuna mtu wa maana unajishusha sana kutoa kauli hizi za kijinga, Chadema kama wanataka kupigania haki wapiganie kama chama usitegemee Lukamba sijui huu ni upumbavu. Shida kubwa ya Chadema kurukia agenda hawana mikakati ya wazi.