sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole.
Lukamba mwenye followers zaidi ya million, ilimchukua masaa machache ujumbe wake kusomwa na watu zaidi ya laki 6 ambao walionesha kuhuzunishwa na utekaji unaofanywa na serikali ya Samia.
Ukatili na utekaji wa watu wasio na hatia umeendelea kuwa ndio kitu pekee serikali ya Samia wanafanya kwa ustadi mkubwa.