jonathan.mnyela
Member
- Jul 15, 2011
- 8
- 5
Je, vita hapa inaonekana si Uenyekiti basi ni Kuutaka Ukatibu Mkuu wa CCM...na inaonekana unautaka sana.Kila kitu kinawezekana. Usikimbilie kukanusha
Je, vita hapa inaonekana si Uenyekiti basi ni Kuutaka Ukatibu Mkuu wa CCM...na inaonekana unautaka sana.Kila kitu kinawezekana. Usikimbilie kukanusha
Kila kitu kinawezekana. Usikimbilie kukanusha
Naona sasa umeamua kukaa chini baada ya kukupa ukweli wa siasa za Lindi. Nakuambia wewe si size yangu na usithubutu kunichokoza. Hapo nimekumegea kidogo tu umekuwa mpole kama kifaranga kilichomwagiwa maji. Lazima tuheshimianeUnafaa kupuuzwa manake itakuchukua muda sana kubaini tofauti kubwa kati yangu na yako na wala haielekei kwamba unazifahamu siasa zenyewe za Lindi! Utaishia kuandika ma-post mareeeeeeefu tu yasiyo na kichwa wala miguu manake kelele unazopiga wala hazina msingi; you're just PARANOID!!!!!
Narudia; wewe endelea tu kukesha JF na kutapata kwa vitu ambavyo havipo lakini watu wanaelekea Dom kula bata!
Mkuu unampiga za mbavu hujibu hata moja hizo fact big up kulA na likeSina lingine zaidi ya kukupa pole manake wakati wewe unashinda hapa ukijifanya ndo una uchungu sana na CCM na JPM na hivyo una wajibu wa kutetea kwa kila kitu, binafsi siwezi kushinda hapa kumtetea yeyote wala chama chochote! Nilichokuambia ni facts na ndio maana nikaanza kukuumbua kwa hiyo taarifa ya Membe kutogmbea ubunge ambayo unadanganya watu kwamba eti aishauriwa wakati habari za Membe kutogmbea zilikuwa open kwa kila anayefuatilia siasa za nchi hii!
Ni makelele yasiyo na maana yoyote kila wakati kulia lia kwamba JPM anataka kuhujumiwa wakati hamna kitu kama hicho! Lililo wazi ni kwamba JPM ana mahasimu wengi na hakuna kitu ambacho wangependa kukiona kama kumuona akishindwa vibaya sana kwenye uongozi wa chama! Hawezi kushindwa bila kupewa uenyekiti!!
Hili halihitaji kwenda shule kulifahamu kwahiyo wewe endelea kukesha huku ukiendelea kuwasubiri hao unaowaita wengine wakati wenzako tunakula bia huku!!!
Kufanya kwake makubwa wizara ya Ardhi haimaanishi kuwa hashiriki siasa za CCM. Ndani ya CCM kuna watu mchana wanafanya haya na usiku wanafanya yale. Magufuli akikabidhiwa chama hakika mtashunudia mambo ya ajabu sana. Msiowaamini mtashuhudia wakitumbuliwaGo, go, go and edit ur post, muondoe Mh. Lukuvi.. sbb ni uongo mkubwa huo..!! Huyu Waziri Lukuvi amefanya makubwa mno, kila mtanzania anamkubali.. ww unaanza kumchafua..
If you don't nitafanya vita vikubwa hapa na ww and you will lose all ur credibility and false reputation uliyojijengea hapa JF..!!
Do that plse.. i will engage in harsh threads to counteract all these concerning Mh. Lukuvi..
Do that plse
Naona ushaanza kuchanganyikiwa sasa! Jamaa kauliza ikiwa ni LAZIMA Rais kuwa Mwenyekiti wa chama; nami nikajibu:Unawaza kitu ambacho hakitatokea. Kikwete alikabidhiwa chama mwaka 2006 ilhali mkutano ulifanyika 2007. Unashangaa nini kwa Magufuli kukabidhiwa chama 2016? Tatizo lenu hamna kumbukumbu hata kidogo
Matokeo yake unadai:Of course, LAZIMA ni hadi katiba itamke hivyo na hapo hapatakuwa na option! Lakini endapo wataona kutokana na mazingira fulani fulani basi Rais "huyu" asipewe uongozi wa chama; hususani huku kukabidhiwa kwa kabla ya wakati, kutokana na sababu wanazoziona basi chama hatapewa kv katiba hailazimishi kufanya hivyo! Na Kutokana na ukweli huo, ndo huku kulia lia kwa kila wakati kwa akina Lizaboni
Wapi nimeshangaa JPM kukabidhiwa chama 2016? Au kv nimesemaUnawaza kitu ambacho hakitatokea. Kikwete alikabidhiwa chama mwaka 2006 ilhali mkutano ulifanyika 2007. Unashangaa nini kwa Magufuli kukabidhiwa chama 2016? Tatizo lenu hamna kumbukumbu hata kidogo
Unadhani huyo niliyesema Rais "huyu" namaanisha JPM? Hushangai nimewekea kifunga na kifungua semi? Ndo maana nikasema you're too paranoid; kimsingi una gubu la kisiasa!Lakini endapo wataona kutokana na mazingira fulani fulani basi Rais "huyu" asipewe uongozi wa chama.....
Aiyo anautaka bali anastahili. Maadam ameshinda Urais kwa njia ya halali iweje asiwe Mwenyekiti wa CCM?
Kwani tuna marais wangapi ambao wanataka kupewa chama kama si JPM?Naona ushaanza kuchanganyikiwa sasa! Jamaa kauliza ikiwa ni LAZIMA Rais kuwa Mwenyekiti wa chama; nami nikajibu: Matokeo yake unadai: Wapi nimeshangaa JPM kukabidhiwa chama 2016? Au kv nimesema Unadhani huyo niliyesema Rais "huyu" namaanisha JPM? Hushangai nimewekea kifunga na kifungua semi? Ndo maana nikasema you're too paranoid; kimsingi una gubu la kisiasa!
Walioshindwa hawataki kuamini kuwa wameshindwa. Kuna watu wanajiona kuwa wana hati miliki ndani ya ccmkama alishinda kwa kushindana na makada wenzake sasa mbona saiz anatumia nguvu nyingi hiv kuwachafua ili yeye tu ndo athibitishwe?! awaache washindane, wa ndio wapige kampeni na wa hapana nao wapige kampeni kwa uhuru, sio mtu akionakana ni wa hapana anaanza kumchafua mtandaoni.
Bora umejigundua kwamba sio size yangu manake siwezi kuwa na muda mchafu kama ulionao wewe wa kushinda JF kila siku kupiga porojo! Halafu acha kutisha watu wewe; mtu aliye ndani ya circle hawezi kushinda kwenye social networks kutetea chama! Hiyo kazi wanapewa wabeba mikoba! Wenye chama chao wanatengeneza habari kisha mnapewa watu wa kariba yako ili mje ku-shout kwenye social networks! Kuhusu siasa za Lindi hakuna ukweli ulionipa na sio kwamba sikuwa na jibu kiroja chako kuhusu siasa za Lindi bali sikuona sababu ya kujibu unnecessary shouting!Naona sasa umeamua kukaa chini baada ya kukupa ukweli wa siasa za Lindi. Nakuambia wewe si size yangu na usithubutu kunichokoza. Hapo nimekumegea kidogo tu umekuwa mpole kama kifaranga kilichomwagiwa maji. Lazima tuheshimiane
Unaelewa maana ya kifunga na kifungua semi?Kwani tuna marais wangapi ambao wanataka kupewa chama kama si JPM?
Sindano imekuingia. Hiyo ndio tiba yakoBora umejigundua kwamba sio size yangu manake siwezi kuwa na muda mchafu kama ulionao wewe wa kushinda JF kila siku kupiga porojo! Halafu acha kutisha watu wewe; mtu aliye ndani ya circle hawezi kushinda kwenye social networks kutetea chama! Hiyo kazi wanapewa wabeba mikoba! Wenye chama chao wanatengeneza habari kisha mnapewa watu wa kariba yako ili mje ku-shout kwenye social networks! Kuhusu siasa za Lindi hakuna ukweli ulionipa na sio kwamba sikuwa na jibu kiroja chako kuhusu siasa za Lindi bali sikuona sababu ya kujibu unnecessary shouting!