Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

Nina husika na CCM na nina kadi ya chama. Tatizo kubwa ndani ya CCM yetu ni kuwa na watu ambao wanakitegemea chama, badala ya chama kuwategemea wao.

Kuna watu ukiwaondoa ndani ya CCM hawajui kazi nyingine na hawana mbinu za kutoka walipo. Solution imekuwa ni kufa kupona lazima wabaki na madaraka ndani ya chama.
Mkuu MchunguZI,si ndani ya ccm tuu ambapo hao watu wa namna hiyo,bali hata huku uraiani ndio kabisa na mifano hai ni ya hawa vijana wanaoshinda wakipiga porojo ili waonekane na kupewa kile wanachokiita ulaji au kuukata au kutoka kimaisha ( u DC,u RC,u DAS,u RAS na vyeo vinginevyo),badala ya kufanya kazi kwa bidii wajenge uchumi wao binafsi na wa taifa,wanakaa na unafiki kama wachawi.
 
Wanaogopa kivuli chao, anasafisha sirikali halafu anasafisha chukua chako mapema! Waliyataka wenyewe mpaka waisome mamba.
 
Naona mmeanza kujitokeza kueleza hisia zenu. Nawasubiri na wale wengine
Sina lingine zaidi ya kukupa pole manake wakati wewe unashinda hapa ukijifanya ndo una uchungu sana na CCM na JPM na hivyo una wajibu wa kutetea kwa kila kitu, binafsi siwezi kushinda hapa kumtetea yeyote wala chama chochote! Nilichokuambia ni facts na ndio maana nikaanza kukuumbua kwa hiyo taarifa ya Membe kutogmbea ubunge ambayo unadanganya watu kwamba eti aishauriwa wakati habari za Membe kutogmbea zilikuwa open kwa kila anayefuatilia siasa za nchi hii!

Ni makelele yasiyo na maana yoyote kila wakati kulia lia kwamba JPM anataka kuhujumiwa wakati hamna kitu kama hicho! Lililo wazi ni kwamba JPM ana mahasimu wengi na hakuna kitu ambacho wangependa kukiona kama kumuona akishindwa vibaya sana kwenye uongozi wa chama! Hawezi kushindwa bila kupewa uenyekiti!!

Hili halihitaji kwenda shule kulifahamu kwahiyo wewe endelea kukesha huku ukiendelea kuwasubiri hao unaowaita wengine wakati wenzako tunakula bia huku!!!
 
Jamani uongozi wa nchi na chama upi mgumu zaidi? Kwa hiyo kuna wanaoamini kuwa ameaminiwa kupewa nchi lakini chama hawezi? Sababu za kitoto kabisa. Ukweli ni kuwa nyie ni sehemu ya mafisadi mnaoona tishio la Magufuli kuwasarambua. Mnataka muwe mnatumia kina dhaifu kumwekea break!
 
Hivi Rais wa Tanzania anayetokana na CCM si ni lazima awe Mwenyekiti wa chama au katiba ya lumumba imebadilika
 
Kwa mazingira ya Tanzania ambako hatutarajii maasi ya kijeshi, kuongoza chama hususani CCM ni kazi kubwa kuliko kuongoza serikali! Ni rahisi sana kumvumilia Mbowe au Lipumba wanapoku-challenge hata hadharani kuliko mathalani kumvumilia Samuel Sitta anapoku-challenge hata kama mmejifungia wenyewe tu Chimwaga!

Si rahisi angalau kwa sasa Rais akapata hatari ya kutaka kuondolewa madarakani lakini ni very possible watu kufannya attempt ya kumuondoa mwenyekiti wa chama madarakani! Ugumu wa kuongoza chama ni kv huko majungu yamezidi!
 
Nimesoma mpaka hapo uliposema Membe alitegemea kupewa uwaziri mkuu nikagundua wewe ni mnafiki na muongo wa kutupwa na huenda hata katiba ya nchi huijui. Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni sasa Membe angewezaje kutegemea ateuliwe kuwa waziri mkuu wakati hakugombea ubunge? Baada ya kuona uzushi huu hata sikuendelea kusoma zaidi. Wadanganye wasiojua katiba
Amesema kwamba Membe alipotaka kugombea ubunge ili avizie uPM aliambiwa asigombee kwamba atapewa nafasi nyingine. Rudia kusoma uzi vizuri
 
Hivi Rais wa Tanzania anayetokana na CCM si ni lazima awe Mwenyekiti wa chama au katiba ya lumumba imebadilika
Si lazima na katiba haijabadilishwa! Ambacho CCM huwa wanafanya ni ile tu kutaka Rais awe na full control kwa chama na serikali lakini si kwamba ni lazima!
 
Si lazima na katiba haijabadilishwa! Ambacho CCM huwa wanafanya ni ile tu kutaka Rais awe na full control kwa chama na serikali lakini si kwamba ni lazima!
kutaka awe na full controlndicho kinachofanya iwe ni lazima, au ww unadhani kiyu kuwa lazima ni hadi kiandikwe
 
Back
Top Bottom