LUHANJO Kutoa Press Release Leo?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa hilli Luhanjo ametukatisha tamaa, inauma inauma inauma saana kwamba
hakuna mawasiliano kati ya Rais wetu mpendwa na Luhanjo, Haiwezekani jana mtu
anaingia ofisini (Jairo) na leo anatolewa. Hii inaonesha kuwa serikali yetu haifanyi kazi

Rais wetu tunakuamini hawa wasadizi wako wanakushushia hadhi ona sasa watanzania
wanaanza kukudharau, kama utachukua uamuzi wa busara na makini FUKUZA hawa wazee
ofisini kwako ikiwemo ngereja na Ludovic

images


Je Luhanjo atatoa Press Release leo kutengua maamuzi yake?

KUSEMA KWELI KWA HILI MMETUVUNJA MOYO
 
Hivi kazi ya Rais ni nini mzee mwenzangu..???

Kama Rais anashindwa kuchagua watu wanaochapa kazi basi ni wazi kabisa kwamba na yeye ameshindwa moja ya kazi zake.., kwahiyo ni kweli afukuze hao wazee na mwisho wa siku ajifukuze mwenyewe kwa kushindwa kazi
 
Hivi kazi ya Rais ni nini mzee mwenzangu..???

Kama Rais anashindwa kuchagua watu wanaochapa kazi basi ni wazi kabisa kwamba na yeye ameshindwa moja ya kazi zake.., kwahiyo ni kweli afukuze hao wazee na mwisho wa siku ajifukuze mwenyewe kwa kushindwa kazi

wewe huoni kuwa hawa watu wanamuaribia kazi ?
 
wewe una Rais mwenzetu? hiyo ni pipos powa ndo imefanya wabadiri uamuzi
 
JK hawezi kumwajibisha Luhanjo wametoka mbali toka Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hadi Ikulu wanakula wote, akina Jairo ndo waletaji hivyo tusibiri tuone otherwise no way.
 
wewe huoni kuwa hawa watu wanamuaribia kazi ?
Kweli kabisa ila ni nani aliyewachagua na nani anaweza kuwafukuza kazi..?

Kuchagua vema na kufukuza pale mtu anapoharibu ndio uongozi mzuri...basi kama alikosea kuchagua anavyoendelea kukaa na huu uozu ni kutenda kosa juu ya kosa, na tunaweza kusema kwa hilo ameshindwa kazi yake
 
Jeykey umenena vema, watendaji wa rais ndo wanaoharibu nchi.Tunamshauri rais azirudie hotuba zake mbili, 1. ile aliyoitoa bungeni siku ya kwanza 2005 na kama hiyo 2010. Kuna kale ka-mradi ka irrigation kwa kutumia visima je kuna mtendaji yeyote anayekakumbuka? hii ni dhahiri kabisa kuwa watendaji wa serikali wako likizo za malipo na wamemlazimisha rais kuwa "redundant". HAWAFANYI kazi zao zinazowapelekea watoto wao shule.

Hata bajeti za mawizara nyingi hazikuzingatia ahadi za rais alizozitoa wakati wa uchaguzi mkuu. Hawajui kabisa kuwa kila mtawala huwa na malengo yake ambayo anawajulisha wananchi kupitia ahadi zake mbali mbali.
 
Wakuu...

Kama watoto wote ndani ya nyumba wanafanya wanalotaka na hawana maadili mema, wa kumwangalia ni baba mwenye nyumba..., Hivyo basi kama nchi inakwenda kombo wa kumlaumu ni Kiongozi wa nchi, kwamba ndio hafai
 
Wakuu...

Kama watoto wote ndani ya nyumba wanafanya wanalotaka na hawana maadili mema, wa kumwangalia ni baba mwenye nyumba..., Hivyo basi kama nchi inakwenda kombo wa kumlaumu ni Kiongozi wa nchi, kwamba ndio hafai


Kiongozi wa nchi rais wetu anafaaa saana ila watendaji wake ndo wanamualibia
sasa angalia Luhanjo Miscommunication anakuja kuaribu kwenye Public
 
kwa hilli luhanjo ametukatisha tamaa, inauma inauma inauma saana kwamba
hakuna mawasiliano kati ya rais wetu mpendwa na luhanjo, haiwezekani jana mtu
anaingia ofisini (jairo) na leo anatolewa. Hii inaonesha kuwa serikali yetu haifanyi kazi

rais wetu tunakuamini hawa wasadizi wako wanakushushia hadhi ona sasa watanzania
wanaanza kukudharau, kama utachukua uamuzi wa busara na makini fukuza hawa wazee
ofisini kwako ikiwemo ngereja na ludovic

images


je luhanjo atatoa press release leo kutengua maamuzi yake?

Kusema kweli kwa hili mmetuvunja moyo





huyo da gama mwitu ni rais wako wewe na shangazi yako na mjomba yako rajab kiravu...
 
Ina maana Luhanjo aliamua kumrejesha Jairo job bila consultation na superiors ?
 
Kiongozi wa nchi rais wetu anafaaa saana ila watendaji wake ndo wanamualibia
sasa angalia Luhanjo Miscommunication anakuja kuaribu kwenye Public
Mkuu ni nani aliowachagua hao watendaji wasiofaa na ni nani anaweza kuwafukuza...

Au kufaa kwa kiongozi kunapimwa vipi
 
Bahati mbaya ulikua hujui kuwa serikali ya Kikwete ilikufa siku nyingi, inaishi kwa kutegemea watu wasio waelewa katika taifa hili, inaishi kwa nguvu na mabavu ya vyombo vya dola, inaishi kwakua watu wengi wenye akili nzuri wameamua kukakaa kimya na kumuacha aharibu mwenyewe
 
Nadhani hamjamsoma jeykey nyie, huyu siku zote ni Jk.
Anachotaka kumaanisha hapa ni kumsafisha Jk kua alikua hana taarifa na aliyoongea Luhanjo.

Ukweli tunaufahamu, (watanzania tulishaamka) kua alikua anapima upepo. Wabunge, vyombo vya habari na wananchi wasingepiga kelele, Jk angekaa kimya. Baada ya kuona upepo unavyovuma, ikabidi ajisafishe kwa namna hiyo. All in all, seriali ya magamba ni Comedy tu, hamna kitu.
 
Back
Top Bottom