Luhaga Mpina ndiye Waziri Mkuu ajaye

Luhaga Mpina ndiye Waziri Mkuu ajaye

Luhaga mzalendo mavi? Bora hata Makonda ana nafuu. Kaumiza wavuvi wa nchi hii Hana huruma Huyo Pimbi. Kama nyavu zilizuiwa na mitumbwi ilikuwa inachomwa moto Kwa sheria gani?
Unamaanisha Tanzania haikuwa na wavuvi haramu au!?
Kwani kuchoma nyavu ameanza yeye!?
Tafta standard za nyavu, wewe sio mvuvi ndio maana unaropoka
 
Vijana wenzangu, tuache ushabiki wa kivyama na tujikite kwenye mambo muhimu yatakayo saidia nchi yetu kusonga mbele zaidi kiuchumi, n.k

Hakuna anayefaa kuwa waziri mkuu ndani ya CCM hii au CHADEMA, if tutaendelea kuwa na katiba hii ya kikoloni. Vijana wenye mawazo kama ya mdude au Nape, n.k, kila siku tutaendelea kulalama tu

Tuache kufanya kampeni/ kuwapigia madebe watu ambao walisha jipambanua kwa umma wa watanzania, na tukajua tabia na hulka zao, tuache njaa vijana taifa inatutegemea.
Mpina anafaa sana Kuliko Maja
 
Unamaanisha Tanzania haikuwa na wavuvi haramu au!?
Kwani kuchoma nyavu ameanza yeye!?
Tafta standard za nyavu, wewe sio mvuvi ndio maana unaropoka
Namshangaa.

Kwani nchi hii ilikuwa haiibiwi samaki baharini? Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?

Luhaga alipiga marufuku vibua vya janga la vinu vya nyuklia vilivyolipuka Japan. Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?

Luhaga alizuia sato wa kichina waliokuzwa kwa wiki 2 Zambia badala ya miezi 6. Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?

Baghosha!
 
Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025.

Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo kwa taifa, ujasiri, ari, nidhamu ya kutolea mfano, weledi, kazi za matokeo makubwa nk.

Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.

Tatizo ni dini ake
 
Historia ina ushahidi duniani vichaa ndiyo wamefanikiwa kujenga nchi zao:-

1. Adolf Hitler.

2. Benito Amilcare Andrea Mussolini.

3. Gen. Hideki Tojo. (Akisaidiana na Gen. Douglas MacArthur)

4. Mao Tsetung.

6. Joseph Stalin.

7. Saddam Hussein.

8. Muammar Gaddafi.

9. Pik Botha.

10. Yoweri Museveni.

11. Paul Kagame.

12. John Magufuli.

13. Abeid Karume.

14. Haile Selassie.

15. Rodrigo Duterte.

16. Nicholas Maduro.

17. Omar Bongo.

18. Omar al-Bashir.

19. Mobutu Sese Seko.

20. Kamuzu Banda.

21. Felix Houphouet-Boigny.
Akili za Kimagufuli hizi, kwa hiyo hao uliowataja ndio wanaoongoza nchi zilizojengeka zaidi duniani?

Ndio maana unafagilia huyo mtu mwenye matatizo ya akili sababu na wewe una matatizo ya akili
 
Ni Dini gani tena ambayo hairuhusiwi kupata Waziri mkuu!!
[emoji38][emoji16][emoji23] kuna udini kumbe...

Mbona hawa hawakufuata udini?

Sokoine 1977-80
Msuya 1980-83
Sokoine 1983-84
Warioba 1985-90
Malecela 1990-94
Msuya 1994-95
Sumaye 1995-2005
Lowassa 2005-2008
Pinda 2008-2015.
 
Historia ina ushahidi duniani vichaa ndiyo wamefanikiwa kujenga nchi zao:-

1. Adolf Hitler.

2. Benito Amilcare Andrea Mussolini.

3. Gen. Hideki Tojo. (Akisaidiana na Gen. Douglas MacArthur)

4. Mao Tsetung.

6. Joseph Stalin.

7. Saddam Hussein.

8. Muammar Gaddafi.

9. Pik Botha.

10. Yoweri Museveni.

11. Paul Kagame.

12. John Magufuli.

13. Abeid Karume.

14. Haile Selassie.

15. Rodrigo Duterte.

16. Nicholas Maduro.

17. Omar Bongo.

18. Omar al-Bashir.

19. Mobutu Sese Seko.

20. Kamuzu Banda.

21. Felix Houphouet-Boigny.
Sasa hivi hayo mataifa uliyotaja yana haki gani kiuchumi? Kuna takataka umeiweka humo ndani naomba uitoe!😁😁😁
 
Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025.

Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo kwa taifa, ujasiri, ari, nidhamu ya kutolea mfano, weledi, kazi za matokeo makubwa nk.

Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.

​

Utakapoona mlango wa choo amka mara moja la sivyo utajinyea. Ndoto za mchana hizo
 
Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.
Ni maeneo gani mahususi ambayo umeona anafaa kuwa PM ungetusaidia uelewa, je historia yake alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara enzi za utawala wa JK alifanya nini au alileta mageuzi gani? alipokuwa Naibu Waziri wa Mazingira enzi ya utawala wa awamu ya tano alifanya nini au alileta mageuzi gani? na Je alipokuwa Waziri wa Mifugo alifanya nini kilichoonekana kwa maslahi ya Taifa au alileta mageuzi gani yakuonekana ili tuamini uchambuzi wako
 
1676469854671.jpeg

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akitoka kwenye Meli ya Buah Naga 1 baada ya kuikagua ambapo ilikutwa na mapezi ya samaki aina ya papa kinyume na Sheria yaUsimamizi wa Bahari Kuu(DSFA) ya Mwaka 1998 kama ilivyorekebishwa Mwaka 2007.Meli hiyo ilitozwa faini ya shilingi milioni 770.
 
Back
Top Bottom