Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
- #81
Jimbo litapotea lile, Wasukuma miaka hii siyo wale.. hawataki ubazazi tena.WaTanzania sio wajinga, mteteeni mnavyoweza ila 2025 harudi. Kukatwa jina ujumbe NEC taifa na mkoa ni introduction. Labda ahame chama ila CCM hawawezi mpitisha