Here we are!Ubunge wenyewe wa Kisesa alitangazwa kwa nguvu ya anko wake JPM, u pm ataupata wapi huyu mpiga ramli
Mbona Trump alikuwa anatamka Magufuli Magafuli!?Hajui kutamka Trilioni. Anatamka Tirioni
Hamjui historia ya nchi yenu wenyewe, mnajuwa historia za mataifa ya kigeni. Huu ni uzandiki!Sasa hivi hayo mataifa uliyotaja yana haki gani kiuchumi? Kuna takataka umeiweka humo ndani naomba uitoe![emoji16][emoji16][emoji16]
Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025.
Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo kwa taifa, ujasiri, ari, nidhamu ya kutolea mfano, weledi, kazi za matokeo makubwa nk.
Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.
Tibaigana aliwahi kusema nchi inahitaji Dictator ili itoke kwenye mkwamo.Jpm mwenyewe anamkubali huyu, alimwita kichaa[emoji16][emoji16]
WaTanzania sio wajinga, mteteeni mnavyoweza ila 2025 harudi. Kukatwa jina ujumbe NEC taifa na mkoa ni introduction. Labda ahame chama ila CCM hawawezi mpitishaNamshangaa.
Kwani nchi hii ilikuwa haiibiwi samaki baharini? Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?
Luhaga alipiga marufuku vibua vya janga la vinu vya nyuklia vilivyolipuka Japan. Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?
Luhaga alizuia sato wa kichina waliokuzwa kwa wiki 2 Zambia badala ya miezi 6. Mbona hiyo wapaa samaki hawalioni?
Baghosha!
Duniani kuna species 21 za binadamu. Mawazo yako yanadhihirisha haumo kwenye species yoyote. Huenda umezaliwa kwa kuchanganya mbegu za sokwe na binadamu (so your dad is chimpanzee)[emoji2956][emoji16][emoji23][emoji38][emoji1787]Utakapoona mlango wa choo amka mara moja la sivyo utajinyea. Ndoto za mchana hizo
Enzi hizo za JK biashara zilikuwa zinakufa? Kama zilikuwa zinashamiri ni kwa sababu ya Kamati ya Bunge aliyoiongoza ilifanya kazi yenye tija kwa taifa.Ni maeneo gani mahususi ambayo umeona anafaa kuwa PM ungetusaidia uelewa, je historia yake alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara enzi za utawala wa JK alifanya nini au alileta mageuzi gani? alipokuwa Naibu Waziri wa Mazingira enzi ya utawala wa awamu ya tano alifanya nini au alileta mageuzi gani? na Je alipokuwa Waziri wa Mifugo alifanya nini kilichoonekana kwa maslahi ya Taifa au alileta mageuzi gani yakuonekana ili tuamini uchambuzi wako
[emoji16][emoji1787] kikisemwa chumbani hakiponi asilani.Huyu huyu anayekisame chama chetu hadharani?
Nenda kabadilishe lensi ya miwani yako ndiyo urudi jamvini mkuu. Vinginevyo una ugonjwa wa uvivu wa kusoma vitabu na makala ndefu (umezoea kusoma abstract/dibaji)Nani alikuambia sifa ya kuwa waziri mkuu ni uzalendo peke yake?
Ila wewe Filosofia ya Rorya ni MSUKULE kamili. Magufuli alipokufa aliondoka na akili zenu. Endeleeni kumuabudu marehemuDuniani kuna species 21 za binadamu. Mawazo yako yanadhihirisha haumo kwenye species yoyote. Huenda umezaliwa kwa kuchanganya mbegu za sokwe na binadamu (so your dad is chimpanzee)[emoji2956][emoji16][emoji23][emoji38][emoji1787]
Wasukuma wa Mwadui (mliobadilishana almasi kwa shanga na mkoloni) mko wengi humu...Labda Waziri Mkuu wa Mahande
Kwani vyombo havimuoni?Yupo vizuri ila ajitokeze kujibu tuhuma za kupora ekari 1000 za wananchi Morogoro
Ulitaka Wamang'ati wenzio walishe mifugo kwy mashamba ya wakulima na Hifadhi ya Mikumi?Yupo vizuri ila ajitokeze kujibu tuhuma za kupora ekari 1000 za wananchi Morogoro