Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025.
Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo kwa taifa, ujasiri, ari, nidhamu ya kutolea mfano, weledi, kazi za matokeo makubwa nk.
Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.
Nani alikuambia sifa ya kuwa waziri mkuu ni uzalendo peke yake?