JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
hapo akiambiwa lete evidence utacheka hadi kumuonea huruma,
Kwani ushahidi una ugumu gani kuupata, ataleta Quotation zake toka kwa Supplier/Contractor but also in comparision to other similar Projects around EAC, which are under similar Geographical landscape. Utakuta Costs za kwetu zimezidishwa mar dufu ili wahusika wapate cha "Kwao"hapo akiambiwa lete evidence utacheka hadi kumuonea huruma,
utaskia nimepata ushahidi kutoka kwenye blog ya fulani 🤣
UWT nyie ni kukata viuno kwenye majukwaa hizi mambo ni ngumu kuelewahapo akiambiwa lete evidence utacheka hadi kumuonea huruma,
utaskia nimepata ushahidi kutoka kwenye blog ya fulani 🤣
Fahamu mpina ni Project.. hizo ni script.. 😅😅... wanfanya kama wanagombana ila lao ni mojaHawa watu wana tamaa ya shetani!
Huyo Mamluki anasapoti chochote cha Mama, huwa haelewi chochote, ni zaidi ya mbumbumbuKwani ushahidi una ugumu gani kuupata, ataleta Quotation zake toka kwa Supplier/Contractor but also in comparision to other similar Projects around EAC, which are under similar Geographical landscape. Utakuta Costs za kwetu zimezidishwa mar dufu ili wahusika wapate cha "Kwao"
UWT nyie ni kukata viuno kwenye majukwaa hizi mambo ni ngumu kuelewa
ni wewe au wamekudukua?Majizi ya Ccm yanastahili kunyongwa hadharani uwanja wa Benjamin mkapa na wa Tz waone live kupitia Azam Tv
Na mwakani atarudi CCMFahamu mpina ni Project.. hizo ni script.. 😅😅... wanfanya kama wanagombana ila lao ni moja
nchi sanaa nyingi sanaaa.. Na anafasi yake ya ubunge wa kuteuliwa.. Kwa ahadi ya bi mdashiNa mwakani atarudi CCM
Nyumbu wa chadema na majizi ya ccm sijawahi kuwapenda woteni wewe au wamekudukua?
Mpina siyo project ila project ni ACTFahamu mpina ni Project.. hizo ni script.. 😅😅... wanfanya kama wanagombana ila lao ni moja
Hanaga swaga jipya huyu.CAG hajawahi sema haya.
Sasa, mwenye remote control ni nani hapo ? Na bi mdashi anamtunzia nafasi ya ubunge wa kuteuliwa kwa maneno yakeMpina siyo project ila project ni ACT