Lugola kutumbuliwa saa yoyote

Lugola kutumbuliwa saa yoyote

Ofisi ya mwanasiasa iko kwenye media, jeshi ni utendaji sio siasa.
 
Hivi huyu waziri katika utendaji kazi anajua Magufuli anafuatilia???
huyu waziri analeta mambo ya mizaha,Msigwa aliposema huyu ni mtu anapenda mizaha na utani hakukosea,tumejionea wenyewe vituko anavyofanya
tuorodheshe mizaha na utani wa huyu waziri
mbwa aletwe ndani ya masaa kumi na mbili,,,jana tumejionea kale kajibwa sijui kametolewa wapi
Lugumi aje ofisini kwangu???kufanya nini mbona kuna vyombo vya sheria????
anayesambaza picha za yule mkuu wa wilaya akamatwe???mbona yeye mwenye picha hakamatwi na alisambaza mwenyewe???
kutumbuliwa hakuepukiki hii wizara inaitaji watu smart na waliotulia kama Lukuvi
tumeshakugundua...wewe ndiye LUGOLA mwenyewe unajiwahi ili usitumbuliwe
 
Kajina uliko anza nako nilisoma hadith hiyoo nikiwa mtoto sana ilaaa daaaa
 
Back
Top Bottom