Kimenuka !Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.
Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.
Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.
View attachment 1339630
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.
Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.
Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.
View attachment 1339630
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamuitaje wakati tayari Lugola amewekwa chini ya ulinzi?Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.
Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.
Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.
View attachment 1339630
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha! Huyo sasa hivi yuko benet zaidi na Madelu kutengeneza points za kumshambulia Zitto ili labda Madelu anaweza kulamba post kujikimu.
Mahusiano yako ni yamuda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kangi wangempumzisha ubunge sasa.Nadhani uwezo wake umefikia mwisho.
Kumbuka maneno ya mh Lissu kuwa wakiwamaliza wapinzani watahamia kwa wao kwa wao
Bro Kangi ukizubaa hawa wanakwenda kukufanya mbuzi wa Pasaka!! ohoooo!!
huyu si alishawahi tena kufikishwa mahakamani akituhumiwa kuomba Kwa rushwa akiwa katika kamati ya Bunge .... kuna jipya kweli humu ccm
Pumu ilishapata mkohozi, kama kawaida ndani ya chama twawala!
ANGALIZO: Zingatieni afya ya mlengwa, vinginevyo mtaongeza Kolimba mwingine!