Lugola akalia kuti kavu ndani ya CCM

Lugola akalia kuti kavu ndani ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,243
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.

Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.

Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Screenshot_20200129-150321.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia,
Je huyo mwenyekiti anafahamu maana ya mikataba na huo mkataba aliousaini lugola unasemaje au anaseme tu kwa sababu huyo Lugola amachishwa kazi?
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.

Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.

Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.

View attachment 1339630

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote mafisadi wakubwa
 
Kangi wangempumzisha ubunge sasa.Nadhani uwezo wake umefikia mwisho.
 
Back
Top Bottom