Lugola akalia kuti kavu ndani ya CCM

Lugola akalia kuti kavu ndani ya CCM

Wanamlia timing wamkate kwenye kugombea ubunge. Hatua nzuri lakini maana huyu tumbo tumbo hana faida kwa nchi kabisa
 
Magufuli anatakiwa aachane na CCM imebeba wanafiki waliopita kiasi. Walipopinduliwa kuhusu kikokotoo wate wakakana maneno yao. Kibaya zaidi unafiki umeanzia kwa UVCCM adi wazee akina Mangula na Makamba.
 
Hao ndiyo mawaziri wetu watakao tufikisha kwenye uchumi wa kati huku tukiwa ni doonaaa kantreeee
Bila shaka atawajibu kwa kutumia vifungu vya ilani ya uchaguzi. Hajui tofauti kati ya ilani na katiba/sheria za nchi na alikuwa waziri wa mambo ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.

Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.

Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.

View attachment 1339630

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakimhoji watakuwa wamesaidia kitu gani? kama ni nafasi tayari alishaondoka kwa hiyo hata wakimuita hawatapata jawabu, zaidi wanaweza kuishia kutukanana na kuaibishana wao kwa wao, lakini pia utaratibu wa kuitana kupitia kamati za ccm mkoa umeanza lini. Je katiba ya chama inawapatia hauo mamlaka ya kufanya hivyo au mi hisia za watu wachache
 
Ingekuwa kosa la Kange nimefnywa na mpinzani sahizi angekuwa segerea. Malofa kweli hawa wanaigiza tu
.
 
Kwa sasa ndani ya ccm kila kiongozi anabuni njia itakayo mfanya aonekane haraka sana kwa mwenyekiti wao

Back
Top Bottom