lugha zenye ukakasi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
sijakutia machoni
chukua ndizi moja tukatiane
utamega au nikumegee?
huu muwa ukatiwe au?



ongezea mengine unayokumbuka
 
Hizi maneno mi sina utaalamu nazo mtoamada .
Ila kazaneni sana kuzileta nijifunze .
 
Kumbe!
Nilifikiri nimewavuruga!
Haya bwana, mi niko hom leo sitoki, mwisho wa mwezi huu nawasubiri wanaonidai madeni niwabandue !
uuuuui mamayangu ningekuwa nakudai nisingekuja
 
Ukitaka kula lazima uliwe kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…