Hii kitu ni natural... Naweza talk na mtu then nikajua nin kina roll kwa mind yake na mimi nacheza mule mule.Picha zote zimeonyesha kwa hakika namna body language inavyoweza kitawala mazungumzo. Yani ukiangalia tu unajua hapa ninayezungumza naye haniamini/amefurahishwa/hajafurahisha/anajiamini/hajiamini. Binafsi nadhani ninajua sana kusoma body language. Pia najua kutumia body language kwenye mazungumzo naona nafanikiwa sana katika mawasiliano yangu na marafiki/ndugu/wafanyabiashara nk.
Ni nguzo nzuri sana katika biashara piaaUkisoma international procurement utakutana na vitu oversea negotiation tactics ambapo unatakiwa kusoma body language na culture za watu wanao ishi kwenye nchi husika ili to avoid misunderstanding and to get along well
Mkuu mie nakudanya vizuri tu.Ukijua hii body Language mtu hawezi kukudanganya kwa urahisi
unamaanisha nini mkuu?Ila unahitajika umakini wa hali ya juu kbsa maana kuna watu wameumbiwa hali fulani ambayo inaonekana kwny mazingira tofauti tofauti
Kuna watu wanaonyesha nyuso za tabasamu muda wote hata pale wanapopatwa na hasira ni ngumu kung'amua kma wameuzika...wengine kuchekacheka pia.unamaanisha nini mkuu?
Hapo nimekupata vilivyo mkuuKuna watu wanaonyesha nyuso za tabasamu muda wote hata pale wanapopatwa na hasira ni ngumu kung'amua kma wameuzika...wengine kuchekacheka pia.
Wapo wale wanapokuwa na hasira hudondosha machozi sasa usije ukafasiri ni huzuni kumbe ni jazba zilizopitiliza zile
Katika body language ndio maana huangalii peke yake facial expression pia unaangalia pose na tone of the voice MTU anaweza kupretend ila hawez kujificha katik kila jamboHapo nimekupata vilivyo mkuu