lugha ya kidhungu na dada zetu wa kibongo

lugha ya kidhungu na dada zetu wa kibongo

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,484
mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kimombo a.k.a kingereza kikiongelewa na watu wengi kulingana na matukio..
Lakini kwa dada zetu wa kitz hasa wale ambao wana umaarufu kidogo imekuwa shida (sijui ndo raha kwao) wanaongea kiingereza hata sehemu ambayo walitakiwa kujieleza kwa lugha ya taifa KISWAHILI...
sasa kwa nn inakuwa hivi? ni sifa? ni kuonekana msomi? au ukiwa maarufu usipoongea kingereza hatuwezi kukupata vizuri?

NB: haya mambo nimeyaona zaidi hasa pale anapotakiwa kutoa neno mbele ya kadamnasi au kwenye vyombo vya habari hata kama ni vya hapa hapa nchini bila kujali kuwa anaowafikishia ujumbe wengine hata hawakielewi kingereza chenyewe..
 
Pengine wanajisikia vizuri na huru zaidi wakiongea kidhungu....na hii inatokana na kukiweza na kupenda kujifunza hiyo lugha!
 
mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kimombo a.k.a kingereza kikiongelewa na watu wengi kulingana na matukio..Lakini kwa dada zetu wa kitz hasa wale ambao wana umaarufu kidogo imekuwa shida (sijui ndo raha kwao) wanaongea kiingereza hata sehemu ambayo walitakiwa kujieleza kwa lugha ya taifa KISWAHILI...sasa kwa nn inakuwa hivi? ni sifa? ni kuonekana msomi? au ukiwa maarufu usipoongea kingereza hatuwezi kukupata vizuri?NB: haya mambo nimeyaona zaidi hasa pale anapotakiwa kutoa neno mbele ya kadamnasi au kwenye vyombo vya habari hata kama ni vya hapa hapa nchini bila kujali kuwa anaowafikishia ujumbe wengine hata hawakielewi kingereza chenyewe..
Hawana jeuri hiyo ya kuongea kimombo labda KiswanglishMbona wakienda ambako kimombo kilizaliwa wanapata shida tu.
 
mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kimombo a.k.a kingereza kikiongelewa na watu wengi kulingana na matukio..
Lakini kwa dada zetu wa kitz hasa wale ambao wana umaarufu kidogo imekuwa shida (sijui ndo raha kwao) wanaongea kiingereza hata sehemu ambayo walitakiwa kujieleza kwa lugha ya taifa KISWAHILI...
sasa kwa nn inakuwa hivi? ni sifa? ni kuonekana msomi? au ukiwa maarufu usipoongea kingereza hatuwezi kukupata vizuri?

NB: haya mambo nimeyaona zaidi hasa pale anapotakiwa kutoa neno mbele ya kadamnasi au kwenye vyombo vya habari hata kama ni vya hapa hapa nchini bila kujali kuwa anaowafikishia ujumbe wengine hata hawakielewi kingereza chenyewe..

Kweli kabisa mkuu nami hii tabia huwa siipendagi kwa kweli ila hawajuagi tu..........ndo ivo bhana tutafanyaje!!#
 
Kweli kabisa mkuu nami hii tabia huwa siipendagi kwa kweli ila hawajuagi tu..........ndo ivo bhana tutafanyaje!!#

kwa nn wasiongee tu kiswahili bhana? wangejua hata wazungu wanatamani waongee kiswahili wasingekidharau hivo..
 
Back
Top Bottom