baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
Charming lady bora ulivoleta kitchen party manake watu tumejisahaau kabisaaaa! Naomba uniruhusu nisemage tu ukweli wangu
1. Mi mda naotoa kwa Bf ni if Quality time is involved! Tukae tuenjoy, kuwe na la msingi la kufanya! Maybe ana stress nimpunguze kidogo! Au anafurahaa nimchote akili! Sio mda tu ilimradi hakuna jipya wala la maana! Kila saa mko wote!!!! Mnachofanya hakuna zaidi ya kugaragara kwenye sofa lake na kupiga ruti za chooni,chumbani, sebuleni! Aaaaarghhh! Mpaka mnachokana! Scarcity drives demand high!
2.Zawadi niongezee kidogo mjulie BF/Mmeo anapenda nini? Sio unampa mkadi wa I love u! Sooo 1980's au doli! Damn! Au mshati umeukurupua botic wkt si swagga zake! To be on the safe side No man can say no technology!!!!! Get him gadgets za ukwee! Sema pesa yake ndefu afu inauma kinoma!
3.Maneo mmmmh! Its kinda of okay! Ila yakizidi ataona unamdhihaki! Kidogo tu! Mshukuru kwa Game zaidiii, it means more to them kuliko maneno matupu!
4.Kazi mimi sio mvivu najifanyia mwenyewe plus quality na standards za usafi wa kiume siziapprove kabisaaa! To be safe nafanya mwenyeweee! Akikufulia hiyo nguo inachanganywa na mishati yake, sox, boxer!!! Aaaaaaargh! Akhaaaaaaaa!
NI MTAZAMO WANGU SIO MSIMAMO WA WANAWAKE WA JF (Hamkawii kuigeuza hii quote mada)
support u # 3,bt hayo mengne theories tu.