Lugha muhimu za hisia katika mapenzi

Lugha muhimu za hisia katika mapenzi

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Hali zenu wanaMMU, kuna mada hii nimekutana nayo mahali flani. Naomba tuijadili lugha muhimu za hisia katika mapenzi......Karibuni...

1. KUWA NA MUDA NA MWENZI WAKO

Msingi wa kuwa na muda na mwenzi wako ni upamoja (togetherness) pamoja na kuwa kimawazo, kimwili na kiakili (focused attention). Kuwa na muda na mwenzi wako hatumaanishi kukaa pamoja kwenye sofa au makochi kuangalia TV; au movie hapo mnaipa time au muda wa pamoja TV au movie mnayoitazama siyo mwenzi wako.

Kuwa na muda na mwenzi wako ni kukaa pamoja na kumpa attention yote, anaongea na wewe unamsikiliza tena ninyi wawili tu, kutembea pamoja yaani mmeamua kwenda kutembea kwa ajili ya kwenda kutembea wewe na yeye tu si kwa sababu mnaenda kanisani au mnaenda kazini, kupeana muda wa pamoja ni kama vile kwenda kula pamoja (outing) ninyi wawili na mkifika hapo kwenye hoteli mnaongea kwa kuangaliana ninyi romantically.

2. KUPEANA ZAWADI.

Zawadi ni kitu chochote unachoweza kukishika kwa mikono na kinakupa hisia kwamba aliyenipa zawadi alikuwa ananifikiria na ananipenda.Kutoa zawadi kulikuwepo miaka mingi iliyopita na tunazidi kurithisha kizazi hadi kizazi na kila mmoja naamini ameshapokea zawadi nyingi ingawa tunatofautiana katika upokeaji huo wa zawadi kwani kuna wengine leo inawezekana hawajapata zawadi, wengine hii wiki, wengine huu mwezi na wapo pia ambao huu mwaka bado hawajapata zawadi yoyote. Zawadi huelezea upendo, ndiyo maana hata katika uchumba kila upande hujitahidi kutafuta zawadi nzuri kwa ajili ya mpenzi wake.

3. MANENO MATAMU (Kusifia, kutia moyo na kushukuru)
Je ni mara ngapi umesema Asante au kumsifia spouse wako kwa jinsi alivyokurusha vizuri kwenye mahaba na sita kwa sita? Na je kawaida unapomsifia au ku-appreciate vitu anafanya huwa anajisikiaje?

Maneno mazuri au yanayotia moyo au yanayomsifia ambayo ni matamu husababisha mambo yafuatayo kwa mwenzi wako
(a) Huleta upamoja na ukaribu zaidi (intimacy)
(b) Huleta uponyaji kwenye majeraha ya hisia zake kama kuna maumivu moyoni mwake (healing) na kumfariji
(c) Mume wako au mke wako hujisikia kulindwa zaidi na anajisikia yupo katika mikono salama.

Jizoeshe kumsifia mpenzi wako kwa kila jema analolifanya ama kwa uzuri alokuwa nao, au kwa chakula kizuri unachopika au kazi anavyofanya au jinsi anavyowajibika mkiwa chumbani. Hapa wanaume tunahitaji kujitahidi zawadi naamini kutokana na mfumo wetu dume wa Kiafrika hata kusema
asante au nisamehe au nimekosa inakuwa kazi, please naomba tubadilike.

5. KUSAIDIANA KAZI AU HUDUMA
Hii ni kufanya vitu ambavyo mwenzi wako anatarajia au anategemea ungefanya kuonesha unampenda na kumjali na kuwa wewe ni yeye ni kitu kimoja.

Inawezekana anategemea ungemsaidia kutandika kitanda, kusafisha nyumba, kupika, kufua nguo, , kuosha gari, nk hiyo mnaweza kufanya pamoja na ni njia nzuri ya kueleza kwamba unampenda kwa vitendo.

MNAWEZA KUONGEZEA NA MENGINE MENGI.... KARIBUNI
 
kwanini unatualert aisee alifu kumbe ni hii mambo ya kibiblia zaidi aisee kufuaa hapa kwenye kusaidiana itakuwa baadae sana..
 
Sio hivyo mkuu... Just imagine gf wako kaja home kwako kukutembelea kaamua kukusaidia kufua nguo zako, huenda na zake zipo kama kanga n.k. Je huwezi kumsaidia kufua?????? mbona yeye anakusaidia?? Au kaja na kaacha kanga yake hapo kwako huwezi kuifua wakati unafua nguo zako????
 
Kwangu mimi Gf ni kwaajili ya burudani tu na si vinginevyo.
Kuhusu kunifulia sitarajii mpaka awe wife na pia mimi siwezi mfulia.
Kama aliiacha makusudi ili nimfulia atakua ameambbulia PUA.
 
dah we mkareee.... Sasa huyo wife ndo atakuja kama upepo???? Utajuaje kama anajua kufua??
 
ni mekupenda dada umenikuna haswa hilo la zawadi, ngoja nijirekebishe maana me napenda kureceive na kwangu zawadi ni kama unalazimika sio ombi usipoleta panachimbika, ngoja nami nianze kutoa lakini za hali sio za mali kama kiss hivi c itafaa
 
Kwangu mimi Gf ni kwaajili ya burudani tu na si vinginevyo.
Kuhusu kunifulia sitarajii mpaka awe wife na pia mimi siwezi mfulia.
Kama aliiacha makusudi ili nimfulia atakua ameambbulia PUA.

wanume wengine makauzu lol ,ndo maana kubwa la maadui anawakomesha , kwa stail hizi huwez mfurahia mwanamke maana naye hawezi kujiachia kwa mtu asiyeweza kushow love
 
Haswaaaaa! Hiyo zawadi ya kiss itanifaa sana mimi.
 
wanume wengine makauzu lol ,ndo maana kubwa la maadui anawakomesha , kwa stail hizi huwez mfurahia mwanamke maana naye hawezi kujiachia kwa mtu asiyeweza kushow love

Kwani kushow love ni mpaka umfulie nguo zake??
Waweza kumpa mapenzi motomoto pembeni na kumfulia nguo zake.
 
ni mekupenda dada umenikuna haswa hilo la zawadi, ngoja nijirekebishe maana me napenda kureceive na kwangu zawadi ni kama unalazimika sio ombi usipoleta panachimbika, ngoja nami nianze kutoa lakini za hali sio za mali kama kiss hivi c itafaa

Hahaaaa jirekebishe mkuu!!!!!
 
hello la zawadi hillo limekuwa gumu, mabinti nao cku hizi mnachagua zawadi mara cm sumsung, BB, mara ka vitz staki
sasa mm staki zawadi ya mtu na sitoi zawadi
 
Kwani kushow love ni mpaka umfulie nguo zake??
Waweza kumpa mapenzi motomoto pembeni na kumfulia nguo zake.[/QUOTE

Mkuu mapenzi motomoto yana wigo upi? Mwanamke yoyote ambaye ni wife material anaweka kipaumbele sana kwenye kitu KUJALI (care). Kuna vitu vingi sana utavifanya na akapata picha yako kama ni mtu wa kujali au hapana. Makosa makubwa wanaume hufanya ni kudhani kumfanyia mwanamke mambo makubwa ndo kujali. Je ni wangapi wanapewa hadi magari lakini sio waaminifu or hawana mapenzi na wawapao magari?
 
Kwangu mimi Gf ni kwaajili ya burudani tu na si vinginevyo.
Kuhusu kunifulia sitarajii mpaka awe wife na pia mimi siwezi mfulia.
Kama aliiacha makusudi ili nimfulia atakua ameambbulia PUA.

Kazi ipooo
 
Saudari kila unavokaa humu jamvini unazidi kunikoshaaaa!

Back to topic
I like a man who keeps it pure business!!!!!! Anastic kwenye main plan!!!!!! Ukifika tu nguo zinachojolewa!!!!!!!! Sio baby kuna ndizi hapo nipikie, nichagulie nguo na kuapsi!!!!!!! Aaaaah! Mambo ya bibi zetu hayo!
 
Charming lady bora ulivoleta kitchen party manake watu tumejisahaau kabisaaaa! Naomba uniruhusu nisemage tu ukweli wangu

1. Mi mda naotoa kwa Bf ni if Quality time is involved! Tukae tuenjoy, kuwe na la msingi la kufanya! Maybe ana stress nimpunguze kidogo! Au anafurahaa nimchote akili! Sio mda tu ilimradi hakuna jipya wala la maana! Kila saa mko wote!!!! Mnachofanya hakuna zaidi ya kugaragara kwenye sofa lake na kupiga ruti za chooni,chumbani, sebuleni! Aaaaarghhh! Mpaka mnachokana! Scarcity drives demand high!

2.Zawadi niongezee kidogo mjulie BF/Mmeo anapenda nini? Sio unampa mkadi wa I love u! Sooo 1980's au doli! Damn! Au mshati umeukurupua botic wkt si swagga zake! To be on the safe side No man can say no technology!!!!! Get him gadgets za ukwee! Sema pesa yake ndefu afu inauma kinoma!

3.Maneo mmmmh! Its kinda of okay! Ila yakizidi ataona unamdhihaki! Kidogo tu! Mshukuru kwa Game zaidiii, it means more to them kuliko maneno matupu!

4.Kazi mimi sio mvivu najifanyia mwenyewe plus quality na standards za usafi wa kiume siziapprove kabisaaa! To be safe nafanya mwenyeweee! Akikufulia hiyo nguo inachanganywa na mishati yake, sox, boxer!!! Aaaaaaargh! Akhaaaaaaaa!

NI MTAZAMO WANGU SIO MSIMAMO WA WANAWAKE WA JF (Hamkawii kuigeuza hii quote mada)
 
Hali zenu wanaMMU, kuna mada hii nimekutana nayo mahali flani. Naomba tuijadili lugha muhimu za hisia katika mapenzi......Karibuni...

1. KUWA NA MUDA NA MWENZI WAKO

Msingi wa kuwa na muda na mwenzi wako ni upamoja (togetherness) pamoja na kuwa kimawazo, kimwili na kiakili (focused attention). Kuwa na muda na mwenzi wako hatumaanishi kukaa pamoja kwenye sofa au makochi kuangalia TV; au movie hapo mnaipa time au muda wa pamoja TV au movie mnayoitazama siyo mwenzi wako.

Kuwa na muda na mwenzi wako ni kukaa pamoja na kumpa attention yote, anaongea na wewe unamsikiliza tena ninyi wawili tu, kutembea pamoja yaani mmeamua kwenda kutembea kwa ajili ya kwenda kutembea wewe na yeye tu si kwa sababu mnaenda kanisani au mnaenda kazini, kupeana muda wa pamoja ni kama vile kwenda kula pamoja (outing) ninyi wawili na mkifika hapo kwenye hoteli mnaongea kwa kuangaliana ninyi romantically.

2. KUPEANA ZAWADI.

Zawadi ni kitu chochote unachoweza kukishika kwa mikono na kinakupa hisia kwamba aliyenipa zawadi alikuwa ananifikiria na ananipenda.Kutoa zawadi kulikuwepo miaka mingi iliyopita na tunazidi kurithisha kizazi hadi kizazi na kila mmoja naamini ameshapokea zawadi nyingi ingawa tunatofautiana katika upokeaji huo wa zawadi kwani kuna wengine leo inawezekana hawajapata zawadi, wengine hii wiki, wengine huu mwezi na wapo pia ambao huu mwaka bado hawajapata zawadi yoyote. Zawadi huelezea upendo, ndiyo maana hata katika uchumba kila upande hujitahidi kutafuta zawadi nzuri kwa ajili ya mpenzi wake.

3. MANENO MATAMU (Kusifia, kutia moyo na kushukuru)
Je ni mara ngapi umesema Asante au kumsifia spouse wako kwa jinsi alivyokurusha vizuri kwenye mahaba na sita kwa sita? Na je kawaida unapomsifia au ku-appreciate vitu anafanya huwa anajisikiaje?

Maneno mazuri au yanayotia moyo au yanayomsifia ambayo ni matamu husababisha mambo yafuatayo kwa mwenzi wako
(a) Huleta upamoja na ukaribu zaidi (intimacy)
(b) Huleta uponyaji kwenye majeraha ya hisia zake kama kuna maumivu moyoni mwake (healing) na kumfariji
(c) Mume wako au mke wako hujisikia kulindwa zaidi na anajisikia yupo katika mikono salama.

Jizoeshe kumsifia mpenzi wako kwa kila jema analolifanya ama kwa uzuri alokuwa nao, au kwa chakula kizuri unachopika au kazi anavyofanya au jinsi anavyowajibika mkiwa chumbani. Hapa wanaume tunahitaji kujitahidi zawadi naamini kutokana na mfumo wetu dume wa Kiafrika hata kusema
asante au nisamehe au nimekosa inakuwa kazi, please naomba tubadilike.

5. KUSAIDIANA KAZI AU HUDUMA
Hii ni kufanya vitu ambavyo mwenzi wako anatarajia au anategemea ungefanya kuonesha unampenda na kumjali na kuwa wewe ni yeye ni kitu kimoja.

Inawezekana anategemea ungemsaidia kutandika kitanda, kusafisha nyumba, kupika, kufua nguo, , kuosha gari, nk hiyo mnaweza kufanya pamoja na ni njia nzuri ya kueleza kwamba unampenda kwa vitendo.

MNAWEZA KUONGEZEA NA MENGINE MENGI.... KARIBUNI

All in all, ila hapo kwenye namba 1 red paragraph hapo nimepapenda sana hapo...
 
nimependezwa nawe lara 1
hit and tun ah,, busines mapenzi. . . kama si wako ya nini kupoteza muda mwishowe
mtakamatwa bure, kuku wako manati ya nini? hata sijaelewe ila kila kitu kwa kiasi,,
usiwe ***** wala usiwe mamruki,,
usiwe zobe wala usiwe vulaula,,,
 
Kwani kushow love ni mpaka umfulie nguo zake??
Waweza kumpa mapenzi motomoto pembeni na kumfulia nguo zake.[/QUOTE

Mkuu mapenzi motomoto yana wigo upi? Mwanamke yoyote ambaye ni wife material anaweka kipaumbele sana kwenye kitu KUJALI (care). Kuna vitu vingi sana utavifanya na akapata picha yako kama ni mtu wa kujali au hapana. Makosa makubwa wanaume hufanya ni kudhani kumfanyia mwanamke mambo makubwa ndo kujali. Je ni wangapi wanapewa hadi magari lakini sio waaminifu or hawana mapenzi na wawapao magari?

Umenena kweli mkuu hapo kwenye bold....
 
All in all, ila hapo kwenye namba 1 red paragraph hapo nimepapenda sana hapo...

Thanks mkuu... Watu wengi huwa wanabug sana hapo ulipokoleza rangi. Wakikutana wao ni kubanjuka tuuuu bila break, wakimaliza kila mtu na hamsini zake. Hakuna cha maana wanachoongea ili kujenga uhusiano wao (hili haliwagusi wale wajasiriamwili) ....
 
nimependezwa nawe lara 1
hit and tun ah,, busines mapenzi. . . kama si wako ya nini kupoteza muda mwishowe
mtakamatwa bure, kuku wako manati ya nini? hata sijaelewe ila kila kitu kwa kiasi,,
usiwe ***** wala usiwe mamruki,,
usiwe zobe wala usiwe vulaula,,,

Mkuu hii mada haiwahusu wale wa hit n' run bali wale walio commited....
 
Back
Top Bottom