Lugha gongana

Lugha gongana

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
715
Reaction score
352
DSCN9522.JPG
 
Ukikutana na huo ubao kama mwanao anasoma shule hiyo ujue lazima atamaliza akiwa Maimuna
 
Hizi ndio shule zetu watoto wa wavuvi na wakulima......hihiii
 
p'poo.....niaje!??! kwakweli endapo utaona kibao kama hicho basi tambua kwamba kizungu nitakubahatisha.Yani kote ongea kilugha lakin ukifika kwenye sxul compas kizungu du....!!!!
 
Back
Top Bottom