hilo limetoholewa toka lugha ya kiingereza yapo mengi kama baiskeli-bicycle, spoko-spoke, rejeta-radiator, feni-fan, siti-seat, indiketa-indicator, virusi-virus, nk nk
Tooch..KULUNZI...DECORDER..KINGAMUZI..HIYO NILUGHA YA WATU ANGECHAPIA KISWAHILI NDIO UNGESEMA HAYO TUSIFAGILIE LUGHA ZA WATU MBONA WAO WANAKOSEA ..UJAMBO.. WANASEMA JAMBOO..NK..
Kisipojitosheleza kinaazima kama lugha zingine. Lugha zote ukuwa hivyo. Kiingereza kimeazima maneno mengi kutoka Kilatini, Kifaransa na Kiarabu. Kwa mfano neno algebra katika hisababiti ni neno la Kiarabu. Wajapani wanasema Wandafuru wakiwa na maana ya wonderful. Muda unavyokwenda hayo maneno yanayoaazimwa yatakubalika kuwa ni maneno ya Kiswahili.