Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Hivi jamani hichi kizazi kinakwenda wapi? Kuna watu me nasema wamekua na tabia sio za kistaharabu hasa sehemu ambazo kuna watu wa rika tofauti.me nimekutana nayo kwenye basi.jamaa flani wanaongea kwa sauti mambo ya ndani kabisa tena matusi bila kuangalia kule kwenye gari kuna watoto na wazee ambao kwa kweli ni aibu.hooh yule mwanamke nimemgonga kabagh.mara mke wa jamaa me na.....mara we jamaa jana umelala na mchepuko lazima umeme.....ulikua na ky kweli.jamani tunaenda wapi.wamama nao kwenye mabasi looh.tutumie basi hata tafsida na kama unaongea n jirani yako mtu wa siti ya tano asisikie basi.