Kweli kabisa.Wewe hapa ktk bandiko hili umeshatumia maneno 8 ya KIARABU Fasaha. Na mengine 10 Yenye Asili hoo hio ya KIARABU.
Sasa sijui unaongea uharo gani hapa.
Km unaona kiarabu hakina maana kwako basi ktk Hilo bango lako toa maneno yafuatayo uone km utaeleweka.
aibu, lugha,dunia,shaka,dini,ufahamu ,
imani,haswa.
Muongea kiswahili YOYOTE hata afanye nini KIARABU HAWEZI KUKIEPUKA.
Andika lugha yenu ya Kikerewe hapa km kuna mtu atakuelewa au kukujibu.
We failed to communicate properly in our language, instead we used foreign language which are often difficult and complex to comprehend..
Westerners wame succeed kwa kutumia lugha zao, even chinese, Japanese, & Korean
Mkuu Mandalini? Kweni Africa kumekuwa China.Kireno wanaongea wa msumbiji,Angola Na Cape VerdeSijaona mandalini hapa wala kireno hapa na hizo lugha zinawatu wengi mnoo
Kupitia mifano yako ndio nakoelezea Mimi...Hahaha
Vipi umefeli ku communicate na wazungu? Na hali wewe mwenyewe hapa umeandika kwa lugha ya kizungu?
Ama kweli akili ni mali.
Kama haujui kizungu usingeweza kuandika kizungu.
Umasikini unaletwa na ufisadi, uzembe..... Maasi yote yanaleta umasini.
Lugha haileti umasikini.
Kama lugha inaleta umasikini mbona wachina matajiri? Wachina hawaongei kizungu.
Hahaha
Zimbabwe wanaongea Kizungu lakini maskini kabisa, mbona lugha ya kizungu haiku watajirisha?
Lugha sio sababu ya utajiri au umasikini.
Kama unataka kuwa tajiri chapa kazi na acha kumuasi Mungu utaona baraka za kila aina zitakushukia. Lugha sio sababu wa umaskini wako.
Hona hoja wewe.
1)Tulipaswa tutumie lugha ipi? Itaje kwa jina.Kupitia mifano yako ndio nakoelezea Mimi...
Sisi tulipaswa kutumia lugha zetu ili tuendelee kama wachina wanavyoendea. Kiarabu ni lugha ya waarabu, kiingereza cha wazungu..
Sisi waafrika tulipaswa kutumia lugha yetu.
Kiarabu sio lugha yetu. Hata kiingereza sio lugha yetu...
Sisi ni waafrika... Tuna asili yetu na identify yetu vilevile...
Kitendo cha kiarabu kua lugha kubwa afrika. Ni kama kusema waafrika weusi hatupo afrika...
Lugha ni matokeo ya nguvu zA kiuchumi.. Na watumiaji wa lugha hiyo watakua wako vizuri kiuchumi kuliko sisi waafrika tuliopoteza identity yetu....
Pia kila jamii duniani inafanya kazi, tunakula kwasababu tumefanya kazi... Lakini tu masikini kwasababu inategemea ni kazi ipi tunafanya...
1)Tulipaswa tutumie lugha ipi? Itaje kwa jina.
2)Acha ubaguzi wa rangi, kuna Waafrika weusi wengi wanaongea Kiarabu (kwa mfano Sudan, Eritrea, Djibouti, Comoro.... ).
Hao wasudani ni maskini sana...hata hivyo.
Mi ni mzalendo, wabaguzi ni weupe unaowatukuza unknowingly..
..
Kupitia mifano yako ndio nakoelezea Mimi...
Sisi tulipaswa kutumia lugha zetu ili tuendelee kama wachina, wajapan, wakorea wazungu, warusssia, wahindi, wanavyoendelea.
Kiarabu ni lugha ya waarabu, kiingereza ni cha wazungu..
Sisi waafrika tulipaswa kutumia lugha yetu.
Kiarabu sio lugha yetu. Hata kiingereza sio lugha yetu...
Sisi ni waafrika... Tuna asili yetu na identify yetu vilevile...
Kitendo cha kiarabu kua lugha kubwa afrika. Ni kama kusema waafrika weusi hatupo afrika...
...
1. Waafrika hatuna lugha moja ,kila taifa lina Iugha yao ya asili.1)Tulipaswa tutumie lugha ipi? Itaje kwa jina.
Jibu, usikimbie..
2)Acha ubaguzi wa rangi wewe, kuna Waafrika weusi wengi wanaongea Kiarabu (kwa mfano Sudan, Eritrea, Djibouti, Comoro, Chad, Niger, Moritania..... ).
3) Washukuru walioanzisha lugha ya Kiswahili imetuwezesha sisi Watanzania ku communicate in one language.
Lugha mbalimbali duniani zina maneno yenye asili ya lugha zA wengine. Huu ni ustaarabu wa lugha. Bado haikifanyi kiswahili Kia lugha ya kiarabu.Kweli kabisa.
Hawa jama hata kwenye lugha wanaona wivu, ingekuwa Kiswahili kina maneno mengi ya Kiyahudi wasinge bisha, wanaleta udini hata kwenye lugha, Hawa jamaa ni wabaguzi wakubwa... Lakini hata wakifanyaje hawawezi kubadilisha ukweli.
Lugha mbalimbali duniani zina maneno yenye asili ya lugha zA wengine. Huu ni ustaarabu wa lugha. Bado haikifanyi kiswahili Kia lugha ya kiarabu.
Kuna faida gani ukijua kiarabu ?
Na kuna faida gani ukijua kiingereza?
At least kiingereza nitakikuta kwenye interview, na presentation.....
1. Waafrika hatuna lugha moja ,kila taifa lina Iugha yao ya asili.
2. Tuwashukuru walioanzisha kiswahili kivipi? Kwani wasingeanzisha tungekosa lugha ya kutumia..?
Au kabla hawajaanzisha kiswahili tulikua tunatumia Lugha gani Ambayo haikianzishwa?
Hahaha,
ama kweli kutafakari ni mali.
Kiswahili kimesaidia kui unit tz.
Msukuma hawezi kutumia kisukuma ku wasiliana na mhaya (lakini sasa wanaweza kutumia Kiswahili kuwasiliana).
1. Lugha sio kitu static. Leo utasema kuna maneno mengi ya kiarabu, things change over time.1)Wewe mbumbumbu nani kasema Kiswahili ni Kiarabu? Tumekwambia kuna maneno mengi sana ya kiarabu ndani ya Kiswahili (hamna mtu kasema Kiswahili ni Kiarabu).
2) Kiarabu Muhimu sana kwetu sisi Waislamu (Tukijua kiarabu At least tutaweza kusoma kitabu cha Mwenyezi Quran kwa Kiarabu, siwezi kuhitaji Tafsiri).
1. Lugha sio kitu static. Leo utasema kuna maneno mengi ya kiarabu, things change over time.
Misamiati mipya inakuja..na ya zamani huondoka. So hakuna umaarufu wowote wa wArabu na lugha yetu.
2. Lugha iliyoongelewa zama za antiquity haitumiki hii Leo.
Kwanini ,kumeanza kuchapisha koran kwa kiswahili? What is the point for having those translations? Ndo kusema ni necessary kua bila kiarabu huwezi wasiliana na Mungu?
Hata wajerumani watasema. Kijerumani kimewasaidia ku wa unit wajerumani...
Kenya watasema kiingereza, wamarekani watasema kiingereza the list goes on and on....
UngeTaja sababu Ambayo ni solid..
Kuliko kua politically correct.
Kiswahili kima variation kati ya eneo moja na lingine kati ya nchi na nchi...
What about Kenyans Swahili,.what about/DRC Swahili, Ugandan swahili?
Ndani ya tizedi yenyewe bado tuna variations...
Zanzibar swahili, kiswahili cha kimakunduchi? Kiswahili cha bara etc...
Kiswahili cha kihaya.. Etc...
Unity is brought by LOVE not Language.
When there's is LOVe language isn't a barrier..
Nadhani hizo lugha hazikuangalia anazungumza nani na yupo wapi, ndio maana kwenye key haikutanjwa nchi, japokuwa key inaonyesha ni maeneo gani lugha fulani inaongewa sana,hivyo kwa Nigeria itakuwa kotekote 50m Hausa na 150m Kiingereza, kwa maana hio 150m wanaozungumza kiingereza wamo Wakenya, wanyarwanda, Tanzania, wanaijeria, n.kTakwimu hazipo Sawa.. Nigeria inazungumza English na inapopulation kubwa ila kwenye key ni tofaut
Kiswahili kipo ndani ya tano Bora AfricaHizo takwimu si za kweli.