Hii sio dalili nzuri. Ongezeni jitihada kununua magariHuku pemba raha mu starehe, hakuna foleni labda gari ya ng'ombe ikucheleweshe.
Ahsante Rrondo...Ila katika watu wanateseka na foleni ni hawa wwtumiaji wa Bagamoyo road. Kama mtu anatoka Posta jioni foleni anaanzia mataa ya Aga Khan.Polemi sana.
Hio njia haina jumatatu wala jumapili,haina mchana wala usiku. Super chaotic!Ahsante Rrondo...
Ujenzi wa Mwendokasi pia unachangia kuongezeka foleni...
Wamalize tu kwa kweli..
Tuna ugeni toka SingaporeKama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu
Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi...
Hii ya leo ni kiboko....
Hapo ni Kila siku Kila. SaaKama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu