Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru

Tunaye spika mpumbavu anayeongoza wale yeye anaowaita "wasomi"!japo wasomi hao hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
Ndugai ajitokeze hadharani atuambie neno"usomi"kwake linamaanisha nini.
"Ulimswano NDUGAI"ni kweli Job Ndugai amepona?
ugonjwa huingia mwilini kirahisi lakini kutoka ni vigumu.
 


Bora sasa huo ugonjwa ungekuwa wa kupona na sio wa kufubaza. au kuzeez na ukiamka unakuwa umeshambulia ubongo wote
 
Anawaongoza wapumbavu una maana wote upinzani na ccm kwa ujumla wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…