Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru

Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Akili zako haziko sawa wewe, badala ya kujikita kwenye mada unashambulia watu/taasisi, halafu huo uislamu wako unahusikaje hapa?

2020 John Walker out
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Acha kuchafua Hali ya hewa humu
Mshakabwa koo Nyie bado ku RIP tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Lazima Achukue Mpira Huu Auweke Kwapani
CAG Vs Speaker Wasiendelee Kuucheza Na Kuiletea Aibu Tanzania

Muda International Media Jicho Tanzania
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
wewe intaprinyuwaa unatapika mapovu kama umemeza mche wa sabuni.
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Naona unahamishia magoli kwenye udini

Siasa zimewaharibu sana akili ....hta kwa jambo linalohusu maslahi ya nchi nyie mnaleta uchama

Very stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekulia kwenye Uislamu na naelewa ninachokiongolea, Asad hawezi kuipenda chadema hata iweje na haijalishi mnajipendekeza vipi kwake, labda mngekuwa CUF.
Asad yuko pale kutimiza wajibu wake kama cag, sasa kupenda chadema inakujaje hapa

2020 John Walker out
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Facts in facts tu bila kujali kasema nani! Hivi kafir ni nani hasa? Maelezo zaidi yatasaidia kukuelewa, vinginevyo utakuwa una shida gorofani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom