Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Tunaye spika mpumbavu anayeongoza wale yeye anaowaita "wasomi"!japo wasomi hao hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
Ndugai ajitokeze hadharani atuambie neno"usomi"kwake linamaanisha nini.
"Ulimswano NDUGAI"ni kweli Job Ndugai amepona?
ugonjwa huingia mwilini kirahisi lakini kutoka ni vigumu.
Hahahaa..........!
Zito anaingiaje hapoHahahaa..........!
Nilimtahadharisha Zitto kuwa CAG siyo mwepesi kihivyo!
Endelea kukaririZito anaingiaje hapo
Acha kuhamisha magoli
Ngoma ni CAG vs ndgai
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawaongoza wapumbavu una maana wote upinzani na ccm kwa ujumla wake?Tunaye spika mpumbavu anayeongoza wale yeye anaowaita "wasomi"!japo wasomi hao hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
Ndugai ajitokeze hadharani atuambie neno"usomi"kwake linamaanisha nini.
"Ulimswano NDUGAI"ni kweli Job Ndugai amepona?
ugonjwa huingia mwilini kirahisi lakini kutoka ni vigumu.
Mkuu mbona unaingiza udini kwenye swala zitto kama hili?Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Uislama unaingiaje tena hapa ? Wewe Waislam unawajua kweli au unathani kila anayevaa kanzu nyeupe na baraghashi ni muislam !!!Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.