Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 4,070
- 3,517
Jinsi siku zinavyozidi kwenda na matukio kuongezeka ndio nukta zinazidi kuunganika. Sasa hivi watu wengi waliokuwa njia panda kuhusu video na issue nzima ya Bwana Lwakatare wameanza kuweka wasiwasi kuhusu uhalisia wa issue nzima. Kwa hali ya kawaida mpaka sasa hivi ilitegemewa image ya CDM iwe imeharibika vibaya lakini hali ni tofauti. Nawasihi CCM kuwa hii strategy itazidi kuwabomoa, na itakuja kulipuka zaidi baadae wakati makundi hasimu (ndani ya chama) ambayo hayajshirikishwa kwenye mkakati huu yatakapokuja kuanza kulitupia kundi lililohusika lawama.
Tatizo CCM sio wamoja.....huyu anajenga yule anapita anabomoa....wajipange upya.