Ludovick na ishara ya vidole viwili

Ludovick na ishara ya vidole viwili

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
808
Reaction score
389
Wakuu,

Ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa CHADEMA.

shida ninayoipata ni pale wafuasi wa CHADEMA na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?

attachment.php
 
Attachments

  • lwakataree.jpg
    lwakataree.jpg
    29.2 KB · Views: 1,570
wakuu, ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa cdadema. shida ninayoipata ni pale wafuasi wa cdm na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?

Kwasasa hajawahi kutoa hio ishara huku akitazamana directly na Kamera au wananchi kama afanyavyo Lwakatare, ila Ludovick nimemdharau sana nasikia hiyo Deal kaifanya kwa Milioni Tano tu.
 
Anadanganya nafsi yake, kwasababu ana uwezo wa kukunja vidole vitatu na viwili kuvinyoosha, hivyo siyo ishu, huyu ni msaliti
 
wakuu, ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa cdadema. shida ninayoipata ni pale wafuasi wa cdm na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?

ni namna tu ya kuwachanganya maadui, lakini ukiangalia kwa karibu naona hakutaka kumuangalia mpiga picha nafikiri macho yataendelea kutupa kilichojificha
 
ludoviki,umetusaliti kwa vipande vya shilingi ambavyo hata stalet havinunui,ama kweli maisha ni magumu
 
Jenga hoja, umetupia tupia tu maneno....

mkuu ni hoja gani wewe unayoitaka? au ndio wale wale mnawashwa mnapoona thread hata kama haupo interested unalazimisha ku-post
 
...lazima apoteze ushahidi kwa gharama yoyote ile ili nia ya kuiangamiza chadema itimie,so bado hata wakimtimua uanachama atadai kaonewa mpaka apatikane na hatia...
 
Ludovick ameitumikia chadema kwa miaka mingi sana.

Anaipenda kwa moyo wake wote.

Ndio maana anaonyesha ishara ya chadema...
 
Kapewa Tzs 5m/= akazilie gerezani? Ama kweli wajinga ndio waliwao!
 
Arudishe kwanza vile vijisenti vya Mwwigulu!
 
mkuu ni hoja gani wewe unayoitaka? au ndio wale wale mnawashwa mnapoona thread hata kama haupo interested unalazimisha ku-post
Ukitaka kujua kama ni pumpa ama la angalia viwers na walio-post, Kwa sababu ya umburula pia imehamishwa jukwaa...

Watu wanaangalia hawaoni hoja wanasepa, next time uwe unajipanga,
 
Jinsi siku zinavyozidi kwenda na matukio kuongezeka ndio nukta zinazidi kuunganika. Sasa hivi watu wengi waliokuwa njia panda kuhusu video na issue nzima ya Bwana Lwakatare wameanza kuweka wasiwasi kuhusu uhalisia wa issue nzima. Kwa hali ya kawaida mpaka sasa hivi ilitegemewa image ya CDM iwe imeharibika vibaya lakini hali ni tofauti. Nawasihi CCM kuwa hii strategy itazidi kuwabomoa, na itakuja kulipuka zaidi baadae wakati makundi hasimu (ndani ya chama) ambayo hayajshirikishwa kwenye mkakati huu yatakapokuja kuanza kulitupia kundi lililohusika lawama.
 
Mkuu!

Kama Mwigulu na Lusinde ndio watu wanao tegemewa na MAGAMBA kutengeneza "STRATEGIES" za kupambana na CHADEMA, unatarajia kuna kuibomoa CHADEMA kweli?? Katika hili la Video ya Lwakatare, hakika wameipandisha CHADEMA ile mbaya. Maana siku hizi kila unapo pita watu wanasema CHADEMA hakika ni kiboko. Kila kukicha wanasingiziwa hili au lile lakini wanakabiliana nalo vilivyo.
 
Hivi unajua kuchambua fasihi?huoni kama anaona ona aibu huyo mtu kwa alichokifanya katika hiyo picha?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ziangalie hizo picha kwa umakini, Lwakatare anamaanisha, ila huyo jamaa (Ludovick) straight forward kutoka usoni kwake inaonesha anaigiza, halafu salamu ya vidole viwili haitolewi kwa mkono wa kushoto pekee, mara nyingi mkono wa kulia au yote miwili!
 
Wakuu,

Ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa CHADEMA.

shida ninayoipata ni pale wafuasi wa CHADEMA na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?

attachment.php

huyu jamaa ni kama mchawi vile, yni hata muonekano wake tu hapo ni kama ule wa Mzee Petro. Hypocrit, idiotic, mwanga kabisaaaaaaa
 
Ludovick ameitumikia chadema kwa miaka mingi sana.

Anaipenda kwa moyo wake wote.

Ndio maana anaonyesha ishara ya chadema...

Ameitumikia Chadema akiwa ametumwa na CCM kwa kupitia mgongo wa Usalama wa Taifa. Kwa hiyo anachokionyesha ni zuga tu; bado tuko kwenye "trailer" picha inakuja.
 
Wote Lwakatare na Ludovick wametumika tu ni mamluki. Hata kwa kuwaangalia utaona kabisa kuwa wanahadaa hasa Ludovivk. Sijui ni kwa nini CDM hawataki kukubali kuwa hawa jamaa wamenunuliwa na ule upande mwingine.
 
Back
Top Bottom