Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?Muhutasari finyu nan kamdhamini? Masharti ya dhamana?
Yuko wapi na anaongea nini kuhusiana na kesi yake
Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.
Inakuhusu nini?
Nani kamdhamini yule mdharimu?. mia
Lazima atakuwa Savimbi kwa kupitia kwa mtu wake mwingine.Nan kamdhamini?
Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?
Ni kweli Chadema haiwahusu tunajua huyo ni mtu wenu.Inakuhusu nini?
Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekajiTunataka jua kama ni Mwigulu nchema au nape? Leop ndio mnajua kuwa kuna ubinadamu?
Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?
Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipiaNi kweli Chadema haiwahusu tunajua huyo ni mtu wenu.
Inakuhusu nini?
[FONT=comic sans
ms]Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na
anailipia
[/FONT]
Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji